R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

Sikuwahi kumwunga mkono Hayati kwenye uongozi wake wa kibabe, lakini nilisikitika sana nilipopata habari kuwa amefariki, japo sikufikiria kuwa ameuawa. Hili ka kuuawa, linaumiza sana. Kama waliweza kumwua Rais, ni nani watashindwa kumwua kama wakitaka? Ndiyo maana wamekuwa wakiwaua watu hovyo, tena watu ambao hawatishii utawala wao kwa namna yoyote ile. Kwao mwanadamu wanamwona kama sisimizi.
 
Aibu sana.. hasa vyombo vyetu vya ulinzi sijui vinafanyaga kazi gani nchi inaliwa na wanyang'anyi wanavyotaka.
 
Sikuwahi kumwunga mkono Hayati kwenye uongozi wake wa kibabe, lakini nilisikitika sana nilipopata habari kuwa amefariki, japo sikufikiria kuwa ameuawa. Hili ka kuuawa, linaumiza sana. Kama waliweza kumwua Rais, ni nani watashindwa kumwua kama wakitaka? Ndiyo maana wamekuwa wakiwaua watu hovyo, tena watu ambao hawatishii utawala wao kwa namna yoyote ile. Kwao mwanadamu wanamwona kama sisimizi.
Watu wengi walimezwa na propaganda za wana mtandao maana wanamiliki kila kitu kwenye nchi hii vyama vya upinzani media kila kitu
 
Usihuzunike, Alimchagua mama kuwa makamu wake na 80% ya wabunge walitokana na maamuzi yake.
 
Sikuwahi kumwunga mkono Hayati kwenye uongozi wake wa kibabe, lakini nilisikitika sana nilipopata habari kuwa amefariki, japo sikufikiria kuwa ameuawa. Hili ka kuuawa, linaumiza sana. Kama waliweza kumwua Rais, ni nani watashindwa kumwua kama wakitaka? Ndiyo maana wamekuwa wakiwaua watu hovyo, tena watu ambao hawatishii utawala wao kwa namna yoyote ile. Kwao mwanadamu wanamwona kama sisimizi.
Inasikitisha kwa kweli.
 
Watu wengi walimezwa na propaganda za wana mtandao maana wanamiliki kila kitu kwenye nchi hii vyama vya upinzani media kila kitu
Hapana.Hata yeye alipenda kusifiwa ndiyo maana akadanganywa akafanya yale aliyoyafanya 2019 na 2020.Hakuwa na upeo wa kufikiria ya mbele.Hilo lilikuwa tatizo lake wala propaganda za mtandao hazikuwa na nafasi kwani hata baada ya uchaguzi mkuu 2020 alima mtandao wiki mbili,je huyo mtu tumsifie kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo?Mimi huwa siungani na hoja za kijinga.Penye ukweli tuseme ukweli,penye yale yanayoharibu mfumo mzima wa nchi yetu tukosoe na tuwe wakweli bila chembe.
 
Mazuri yake ni mengi kushinda hilo la kuzima mtandao na mengine.

Hata wewe una mambo ya hovyo unayo yafanya lakini watu wako wakaribu wanaendelea na wewe Kwa sababu Kuna mazuri mengine unawafanyia.

So usijisahau ukajiona wewe ndiyo mjanja kwamba hauwezi danganywa na ukadanganyika.
 
Back
Top Bottom