R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

Wanamtandao wakiweka shada la maua kwa pamoja
IMG-20250831-WA0517.jpg
 
Hapana.Hata yeye alipenda kusifiwa ndiyo maana akadanganywa akafanya yale aliyoyafanya 2019 na 2020.Hakuwa na upeo wa kufikiria ya mbele.Hilo lilikuwa tatizo lake wala propaganda za mtandao hazikuwa na nafasi kwani hata baada ya uchaguzi mkuu 2020 alima mtandao wiki mbili,je huyo mtu tumsifie kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo?Mimi huwa siungani na hoja za kijinga.Penye ukweli tuseme ukweli,penye yale yanayoharibu mfumo mzima wa nchi yetu tukosoe na tuwe wakweli bila chembe.
Samahani.Alizima mtandao.
 
Back
Top Bottom