Watu wa Usalama, wanapaswa kuiishi kanuni ya rafiki mkuu, aliye tayari kuutoa uhai wake kwa ajili yenu. Bahati mbaya hakuna wa aina hiyo kwa sasa katika duniani hii.Aibu sana.. hasa vyombo vyetu vya ulinzi sijui vinafanyaga kazi gani nchi inaliwa na wanyang'anyi wanavyotaka.
Kama ambavyo Sasa jk na rostam mnawachukia kwa drama za mitandaoni kama hivi zinazochochewa na hilo jinamizi lenu.Muwe mnafuatilia mambo. Wengi walimchukia kwa drama za mtandao.
Si kweli. Hakkumtaka huyoo mtuUsihuzunike, Alimchagua mama kuwa makamu wake na 80% ya wabunge walitokana na maamuzi yake.
Ngoja tushuhudieHuyo jamaa nilimchukia sana kwa ushetani wake; na wakati huo huo nilipenda sana baadhi ya mambo aliyokuwa akiifanyia Tanzania.
Swala la "kuuliwa" achana na ujinga huu unaoenezwa kipuuzi puuzi. Hii ni kama kuwapa uwezo mkubwa sana hao wanaosemwa kutenda tendo hilo.
Kama ulikuwepo mpango wa kumuua, basi huo utakuwa ni mpango ambao hauhusiani na kifo cha MMagufuli.
Sasa subiri hawa majambazi watakavyo sambaratika.
Muwe mnafuatilia mambo. Wengi walimchukia kwa drama za mtandao.
We kibwengo hujui ulichokiandika ukiulizwa hujui ht maana ya rasilimali, umekakarishwa na kumeza upuuzi unaoandikwa humu mitandaoniKwa kuuza raslimali na hazina zetu hakika hakuna kama yeye
tulipokuwa tunamsifia JPM walitutukana sana humu.Muwe mnafuatilia mambo. Wengi walimchukia kwa drama za mtandao.
You're too little too late, ila mapambano bado yanaendeleaIt is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
Of course mkuu unaona kama alikuwa ajitambui kwasababu hayupo tena pia alishindwa vita against CCM Mtandao.Unapotengeneza kitu cha kuwadhuru watu kwa muda mrefu hilo ni jambo zuri???Mfano unaweka sumu kwenye kisima cha maji makusudi kwa vile na watu wengine wana mambo ya hovyo je ni halali?Utaua watu wengi pamoja hata watoto wako kwa sababu ya upumbavu wako.Ndicho alichokifanya Magufuri 2019 na 2020.Pia utawala wake alizuia freedom of speech kitu ambacho kilisababisha CCM MTANDAO wamshughulikie vizuri bila yeye kujitambua.
Kwa mtazamo wako upo sahihi Mkuu.M
Magu alituharibia nchi yule shetani sioni jema lolote
Vuta pumzi taratiiinu, you're too emotional! Moto wa Angela Kiziga hata hana makasirimo kama wewe ambaye unaambulia Tu vidili vya milioni mojaWe kibwengo hujui ulichokiandika ukiulizwa hujui ht maana ya rasilimali, umekakarishwa na kumeza upuuzi unaoandikwa humu mitandaoni
Huyo JPM ndiye chief architect wa haya makorokocho yanayoendelea. Historically Jpm akiwa mbunge alizoea kuwafanyia wagombea wenzake figisu za kufa mtu, ni kwa bahati nzuri wabongo mna short memory ndio maana leo anaonekana ni hero.It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.