Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Ni kweli kabisa,Muwe mnafuatilia mambo. Wengi walimchukia kwa drama za mtandao.
Jamaa alikuwa kiongozi kweli ila siasa za nchi mbaya ,watu wa upinzani wanapenda kutafuta hoja ili kumpinga tu ; walikuwa wanasema anabana demokrasia .Ni kwa vile tu watz ni wapumbavu ila ukweli JPM alikuwa wa kuungwa mkono
Mtanikumbuka kenge weusi nyie.It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
Mtanikumbuka kenge weusi nyie.
Aibu sana.. hasa vyombo vyetu vya ulinzi sijui vinafanyaga kazi gani nchi inaliwa na wanyang'anyi wanavyotaka.Sikuwahi kumwunga mkono Hayati kwenye uongozi wake wa kibabe, lakini nilisikitika sana nilipopata habari kuwa amefariki, japo sikufikiria kuwa ameuawa. Hili ka kuuawa, linaumiza sana. Kama waliweza kumwua Rais, ni nani watashindwa kumwua kama wakitaka? Ndiyo maana wamekuwa wakiwaua watu hovyo, tena watu ambao hawatishii utawala wao kwa namna yoyote ile. Kwao mwanadamu wanamwona kama sisimizi.
Watu wengi walimezwa na propaganda za wana mtandao maana wanamiliki kila kitu kwenye nchi hii vyama vya upinzani media kila kituSikuwahi kumwunga mkono Hayati kwenye uongozi wake wa kibabe, lakini nilisikitika sana nilipopata habari kuwa amefariki, japo sikufikiria kuwa ameuawa. Hili ka kuuawa, linaumiza sana. Kama waliweza kumwua Rais, ni nani watashindwa kumwua kama wakitaka? Ndiyo maana wamekuwa wakiwaua watu hovyo, tena watu ambao hawatishii utawala wao kwa namna yoyote ile. Kwao mwanadamu wanamwona kama sisimizi.
Inasikitisha kwa kweli.Sikuwahi kumwunga mkono Hayati kwenye uongozi wake wa kibabe, lakini nilisikitika sana nilipopata habari kuwa amefariki, japo sikufikiria kuwa ameuawa. Hili ka kuuawa, linaumiza sana. Kama waliweza kumwua Rais, ni nani watashindwa kumwua kama wakitaka? Ndiyo maana wamekuwa wakiwaua watu hovyo, tena watu ambao hawatishii utawala wao kwa namna yoyote ile. Kwao mwanadamu wanamwona kama sisimizi.
Hapana.Hata yeye alipenda kusifiwa ndiyo maana akadanganywa akafanya yale aliyoyafanya 2019 na 2020.Hakuwa na upeo wa kufikiria ya mbele.Hilo lilikuwa tatizo lake wala propaganda za mtandao hazikuwa na nafasi kwani hata baada ya uchaguzi mkuu 2020 alima mtandao wiki mbili,je huyo mtu tumsifie kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo?Mimi huwa siungani na hoja za kijinga.Penye ukweli tuseme ukweli,penye yale yanayoharibu mfumo mzima wa nchi yetu tukosoe na tuwe wakweli bila chembe.Watu wengi walimezwa na propaganda za wana mtandao maana wanamiliki kila kitu kwenye nchi hii vyama vya upinzani media kila kitu
Acha ujinga.Watu wengi walimezwa na propaganda za wana mtandao maana wanamiliki kila kitu kwenye nchi hii vyama vya upinzani media kila kitu
Mazuri yake ni mengi kushinda hilo la kuzima mtandao na mengine.Hapana.Hata yeye alipenda kusifiwa ndiyo maana akadanganywa akafanya yale aliyoyafanya 2019 na 2020.Hakuwa na upeo wa kufikiria ya mbele.Hilo lilikuwa tatizo lake wala propaganda za mtandao hazikuwa na nafasi kwani hata baada ya uchaguzi mkuu 2020 alima mtandao wiki mbili,je huyo mtu tumsifie kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo?Mimi huwa siungani na hoja za kijinga.Penye ukweli tuseme ukweli,penye yale yanayoharibu mfumo mzima wa nchi yetu tukosoe na tuwe wakweli bila chembe.