R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
Amka hapo utajinyea shauri yako halafu utakuta ww ni baba aisee naionea huruma familia unayoiongoza
 
Huyo jamaa nilimchukia sana kwa ushetani wake; na wakati huo huo nilipenda sana baadhi ya mambo aliyokuwa akiifanyia Tanzania.

Swala la "kuuliwa" achana na ujinga huu unaoenezwa kipuuzi puuzi. Hii ni kama kuwapa uwezo mkubwa sana hao wanaosemwa kutenda tendo hilo.
Kama ulikuwepo mpango wa kumuua, basi huo utakuwa ni mpango ambao hauhusiani na kifo cha MMagufuli.

Sasa subiri hawa majambazi watakavyo sambaratika.
 
Hii nchi hakuna Rais atakumbukwa kama Mama Samia, itakuchukua miaka 30(awamu tatu) to have someone like her
Uko sahihi kabisa. Atakumbukwa kwa kuwa kiongozi wa nchi mbovu kabisa; na kama ataendelea huenda akawa wa kwanza kabisa kuondolewa kwa nguvu.
 
Moja ya kosa ambalo alifanya ni kuwawekea vikotoo watumishi kwani afanye hivyo ilhali wabunge wakimaliza miaka yao mitano tu wanachukua hela yao yote,kutowapandisha daraja watumishi na hata ajira alikuwa anatoa kuangalia ccm pekee
 
It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
Kundi la Msoga lipo kuitafuna nchi na utapeli tupu
 
It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
We ****** kamfuate huyo shetani wako kaburini, huyo mshamba hii nchi ameiongoza kwa muda mfupi sana akiharibu sisi tunamshukuru kuondoka naye leo nchi ingeshapasuka vipande vipande. Hana hati miliki na hii nchi we mbwa, huyo nguchiro mwenyewe anawadharau kwani anajua nyie wapumbavu mmeingia kwenye mtego wake. Mazombie ru nyie, sasa nchi inaongozwa na wenye akili, watoto wa mjini na mshuhudie maendeleo makubw na utajiri wa watanzania.
 
M
It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
Mnafki, mnaha, kabla ya Magu ulikuwa raia wa nchi gani au uliishije, kichw kimejaa mavi
 
M Magu alituharibia nchi yule shetani sioni jema lolote
 
Unapotengeneza kitu cha kuwadhuru watu kwa muda mrefu hilo ni jambo zuri???Mfano unaweka sumu kwenye kisima cha maji makusudi kwa vile na watu wengine wana mambo ya hovyo je ni halali?Utaua watu wengi pamoja hata watoto wako kwa sababu ya upumbavu wako.Ndicho alichokifanya Magufuri 2019 na 2020.Pia utawala wake alizuia freedom of speech kitu ambacho kilisababisha CCM MTANDAO wamshughulikie vizuri bila yeye kujitambua.
 
Mimi mwenye magufuli mambo aliyoyafanya nilikuwa na utimamu wa akili nashangaa sana watu wanatumia nguvu kubwa kumshafisha ilihali ujinga wake ndo ulimponza

Alisema waziwazi Mkurugenzi nakulipa mshahara na unamtangaza mpinzani, na alisema kwa majimbo ya upinzani hapeleki maendeleo ilihali watu wanalipa kodi hapo tena utawalaumu watu wa mtandao
 
Sahihi na naunga mkono
 
Uko sahihi mkuu.Magufuri asifiwe kwenye mambo ya ujenzi na nidhamu kwa wafanyakazi wa umma,lakini mengine aliboronga na akataka kutengeneza Ikulu kijijini kwao Chato.Hayo mambo kwenye jamii iliyostaarabika huwa hayapo kabisa.Kuheshimu ofisi ni jambo la msingi kuliko kupenda penda sifa kutoka kwa machawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…