R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

Aibu sana.. hasa vyombo vyetu vya ulinzi sijui vinafanyaga kazi gani nchi inaliwa na wanyang'anyi wanavyotaka.
Watu wa Usalama, wanapaswa kuiishi kanuni ya rafiki mkuu, aliye tayari kuutoa uhai wake kwa ajili yenu. Bahati mbaya hakuna wa aina hiyo kwa sasa katika duniani hii.
 
Ngoja tushuhudie
 
Muwe mnafuatilia mambo. Wengi walimchukia kwa drama za mtandao.


Na wamefeli mazima. Watu wanawachukia sababu hawana interest kuhusu Tanzania wala maendeleo yake.
Waongo na watu wenye hadaa....
 
Kwa kuuza raslimali na hazina zetu hakika hakuna kama yeye
We kibwengo hujui ulichokiandika ukiulizwa hujui ht maana ya rasilimali, umekakarishwa na kumeza upuuzi unaoandikwa humu mitandaoni
 
It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
You're too little too late, ila mapambano bado yanaendelea
 
Of course mkuu unaona kama alikuwa ajitambui kwasababu hayupo tena pia alishindwa vita against CCM Mtandao.

Ila amini nakwambia Mkuu vita ilikuwa kubwa sana mpaka inakulazimu sometimes ufanye maamuzi ya hovyo pasipo kujua inawezekana angepewa muda kidogo angelitambua hilo ulisemalo Mkuu.
 
We kibwengo hujui ulichokiandika ukiulizwa hujui ht maana ya rasilimali, umekakarishwa na kumeza upuuzi unaoandikwa humu mitandaoni
Vuta pumzi taratiiinu, you're too emotional! Moto wa Angela Kiziga hata hana makasirimo kama wewe ambaye unaambulia Tu vidili vya milioni moja
 
nililia sana kabla ya kupata taarifa ya kifo chake na niliamini alikuwa amekufa siku chache nyuma baada ya kusikia mama abduli ameenda tanga kikazi.
 
Yako mambo kadhaa km binadam alikosea kwa kutopenda kushauriwa ila bora yeye kuliko huu usenge wa leo
Tuko km wana wa libya kwa sasa
 
Leo Coaster 100 zinatoka Arusha zinaenda kuzunguka na Mama Sa100 Ili kujaza viwanja.
 

Attachments

  • VID-20250831-WA0029.mp4
    3.4 MB
Wana Mtandao (Kings Maker) wanauwezo wa kuweka na kuondoa,
 

Attachments

  • IMG-20250831-WA0140.jpg
    21.8 KB · Views: 21
"SAFARI ya Maendeleo siyo lelemama" msemo huu ulitumiwa sana na aliyekuwa rais wa Tanzania,Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwa lengo la kuihamasisha jamii katika kuyapambania matamanio ya ndoto zao za maendeleo kwa manufaa ya sasa na baadaye.

Hatua hiyo ilikuwa ni chachu ya watu kufanya kazi kwa bidii baada ya serikali kuwatengenezea mazingira mazuri ya kuhakikisha kila mmoja anawajibika kwa kiwango chake ili kujiletea maendeleo yake,familia na taifa Kwa ujumla.

Hata hivyo kuna wakati alitumia maneno ya kitabu kitakatifu cha Biblia kwa nukuu ya "Asiye fanya kazi na asile" yote hayo ilikuwa ni kuwajengea watu uzalendo wa kufanya kazi kwa bidii na maarifa.
 
WaTanzania tuna shida ya kua wasahaulifu.

Anyway, kuna siku niliwaza kwamba inawezekana JPM alivyoshika madaraka akagundua vyama pinzani vinalelewa na CCM kwamba ukiacha ruzuku (inayotambulika kisheria) kunakua na marupurupu mengine.

Nikawaza yawezekana alipiga marufuku hivi vyama vingine kwa kuona siyo wapinzani wa kweli ila ni wapiga dili kwa uso wa siasa.
 
It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
Huyo JPM ndiye chief architect wa haya makorokocho yanayoendelea. Historically Jpm akiwa mbunge alizoea kuwafanyia wagombea wenzake figisu za kufa mtu, ni kwa bahati nzuri wabongo mna short memory ndio maana leo anaonekana ni hero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…