R.I.P Side Boy Mnyamwezi

R.I.P Side Boy Mnyamwezi

Msigombane sana kwa sababu Mungu atamlaza anapotaka yeye anyway. Haya maneno tunapeana faraja tu.
 
kweli aisee. maana kuandika r.i.p huwa ni kufarijiana tu lkn ukweli aujuae ni marehem, shetani na Mungu

Umeona eh me nashangaa sana kusema r.i.p maybe iwe return if possible vinginevyo siri ya kule aendako anayo maiti na mungu bas
 
Side mnyamwezi Mh tembe ft q-chila.. Huu wimbo ni huyu kijana alikuwa akiimbiwa
r.i.p side
 
Mrs. Dago Biblia inatuambia kufa ni hakika tutakufa, pia sijamaanisha kuwa tukio la kufa huyo kijana ndio sio la kawaida.

Ni la kawaida kabisa kwa sababu kufa n wajibu kwa kila kiumbe ukisema sio la kawaida ina maana kufa msanii ndo sio kawaida?? 😕😕😕😕😕😕
 
Sawa, naungana na familia ya marehemu katika kuomboleza msiba wa kijana mwezetu/wao, Mungu awafariji katika kipindi hiki.

Aamyna inshaallah mungu atawaafu wafiwa na kuwapa tahfif kipindi hiki kigumu kwao ahad ake ilifika
 
Back
Top Bottom