TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Pumzika kwa amani Side boy
Tuma rambirambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzika kwa amani Side boy
Msigombane sana kwa sababu Mungu atamlaza anapotaka yeye anyway. Haya maneno tunapeana faraja tu.
huyu kijana alikuwa muislamu huyu?
Wewe pako tayari ushachagua? Kwa kauli hizi natamani na wewe ufe kesho uende ulipopachagua.
Tusibadili mjadala waungwana hili tukio sio la kawaida.
Mungu amlaze pale alipopachagua alipokua hai.
kweli aisee. maana kuandika r.i.p huwa ni kufarijiana tu lkn ukweli aujuae ni marehem, shetani na Mungu
Ni la kawaida kabisa kwa sababu kufa n wajibu kwa kila kiumbe ukisema sio la kawaida ina maana kufa msanii ndo sio kawaida?? 😕😕😕😕😕😕
Mrs. Dago Biblia inatuambia kufa ni hakika tutakufa, pia sijamaanisha kuwa tukio la kufa huyo kijana ndio sio la kawaida.
Anhaa hapo nimekupata
Sawa, naungana na familia ya marehemu katika kuomboleza msiba wa kijana mwezetu/wao, Mungu awafariji katika kipindi hiki.
Mkuu Kigogo leo mbona sikuelewi elewi shemeji kahalibu nyumbani nini
Wewe pako tayari ushachagua? Kwa kauli hizi natamani na wewe ufe kesho uende ulipopachagua.