R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?

Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hao weusi wanavuna walichopanda ila Marekani wangekuwa hawabagui hawana duble standards Harvey Weinstein angekuwa jela kitambo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U
Kwema Sheikh...

Kitambo sana na shutuma zote alishinda ndio maana jamaa wameamua kuja na documentary ya ‘Surviving R. Kelly’ hahaaaaa

Aaliyah alimuoa kwa siri akiwa na miaka 15! Na mambo yalipoanza kupamba moto jamaa akahojiwa akaulizwa anapenda kutoka kimapenzi na teenager? Eti akauliza “Kwani tunazungumzia umri gani?” Lol

Pia akaenda mbali kwa kusema moyo wake unasema hapana ila mwili wake unasema ndio. Dooooh!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ule msemo wa gari nzee (iliyochoka )haiwezi kusukumwa na gari nzee nyenzie ila itavutwa na gari nzima ina maana sana. Mwisho wa udhalimu huwa ni aibu kelly ana kesi ya kujibu hapo
 
Nope but experience and trend show us that the whites tends to bury the history of the greatness of a blackman whenever the chance occurs... Reference is made from limb chopping by Belgians in Congo, cutting nose of black statues in Egypt, the killing of Martin Luther King and mud slinging of these celebrities now.
The white man is on the mission to wipe out our history.

This is the problem with us black people, we dont want to deal with our problems, we just trying to find excuses to shift the blame to other people.

The guy is a serial rapist, period! Lets not use Dr. King’s death to justify these people. Dr. King didnt die for this. So all these references of Dr king, Egyptian statues etc are irrelevant. Its time we hold this guy accountable for his actions.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kibongo bongo hiyo age mbona washakubuhu sana, hata majuu kwa umri huo wanakuwa washakubuhu sema mzigo wa ustaa ndo unaomuelemea..

Ebu kuwa muwazi wewe umeanza hayo mambo ukiwa na umri gani alafu fuatilia na hapo mtaani kwako unapoishi ndo utapata uhalisia..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna cha kukubuhu wala nini, tamaa tu. Yaani uwe na miaka 35 ulale na kitoto cha miaka 14 halafu utuambie kibongobongo?
 
Jenga hoja zako kwa facts. Hivi kuna mwendawazimu gani angelalamika kama hao mabinti anaowaharibu wangekuwa na miaka kuanzia 18?

Wengi ni kuanzia miaka 13 hadi 17. Fuatilia kwa undani suala hili na sio kujenga hoja kwa mahaba.

Kama wahusika wamehojiwa na kukiri udhalilishaji waliofanyiwa na R. Kelly wewe ni nani hadi useme hakuwaharibu?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Je anakuwa anawateka ama inakuwaje? Ningependa kufahamu hapo maana utekaji ni kosa, na je utekaji nao ni moja ya makosa yanayomwandama? Asante
 
Nifah

Hebu weka machache ya hiyo interview ya mkewe ili tuone huo unyama tafadhari....coz inawezekana alikuwa ana michepuko tu ukaamua kusema ni unyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?

Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?

Sent from my iPhone using JamiiForums
...acha sympathy zisizo na kichwa wala miguu kwa wanawake wenzio...mpona hatujawasikia kumlaumu mfalme Suleiman wa kwenye biblia kwa kuwa na wake 700 plus 300 mademu....mwanaume halisi kuwa na mke zaidi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya sawa.
FB_IMG_1546616452699.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Je anakuwa anawateka ama inakuwaje? Ningependa kufahamu hapo maana utekaji ni kosa, na je utekaji nao ni moja ya makosa yanayomwandama? Asante

Wengi ni mabinti ambao hupelekwa kwake na wazazi wao kwa minajili ya kuwafundisha muziki.
Kwahiyo anatumia nafasi hiyo kufanya yake, huchukua muda kugundulika ila jamaa huwa ana namna zake za ‘kumalizana’ na wahusika (wazazi na watoto) kiasi amekuwa akishinda kesi zote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?

Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?

Sent from my iPhone using JamiiForums
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa
 
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa
...halafu ninajiuliza VIP hao wazungu wenzao hawafanyi kama haya ya R.Kelly ...na mbona hawafanywi chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa

Kwani wanaosema kabaka ni wazungu au ni hao wahanga?

Rangi ya ngozi haihusiani na chochote hapo.

R. Kelly ana matatizo.
 
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa

Kwani wanaosema amebaka ni wazungu? Nyie watu mkoje?
Suala hata hamjalifuatilia mnaandika mjuavyo nyie kwa mahaba yenu juu ya ‘weusi’ wenzetu.

Tuhuma zote za kubaka ni juu ya mabinti weusi wenzie, na wao ndio waliohojiwa na kukiri hadharani kufanyiwa hivyo na R. Kelly ambaye ni mweusi mwenzao.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom