Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
...halafu ninajiuliza VIP hao wazungu wenzao hawafanyi kama haya ya R.Kelly ...na mbona hawafanywi chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika na unachokisema au unaandika kwa kusadiki tu?
Sex offender registries za Marekani hazina wazungu?
https://www.ktvb.com/mobile/article...r-sexual-relations-with-student/277-602898921