hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaa jf bwana ...sio 12 ni miaka 9 (bi-aisha) ....
Nifah unalizumgumziaje hili !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa jf bwana ...sio 12 ni miaka 9 (bi-aisha) ....
Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?
Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muda mwingine tunawasingizia tu wazungu , Ila watu weusi tuna matendo ya kinyama sana sometimes
Sent from my iPhone using JamiiForums
Miaka 9,uislam unaruhusu binti aolewe miaka tisa hapa walikosea sana jamaniAbadili dini awe muislamu maana hata wanayemwita Mtume Mohammed alibaka binti wa miaka 12
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno.. Au awe na Bint yake under 18 watu wamnyatie na kumbebesha mimba..Hayo ni yako wewe sio sheria hiyo.
Jaribu kubaka au mpe mimba mwanafunzi halafu uende mahakamani ukajenge hoja hii uone itakuwaje. [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums
How can R.Kelly sing gospel? - Pastor Iona Locke ( US).Hata hivyo mzee Kelly ni Mtumishi wa Mungu/Mchungaji
So kelly ni mtoto wa mchunguji hata ngoma zake kama you saved me, i believe i can fly, gotham city, world greatest, ni kwaya zile
Sent using Jamii Forums mobile app
He doesn't see further. This is blacks vs. WhitesJohn legend anakazia ili swala ili achukue title ya u king [emoji13]
Nifah fatilia kesi ya Cintoia Brown uone hii vita ikoje. In short Cintoia Brown aliuzwa kama mtumwa wa ngono from white to white. Mtumwa wa ngono huyu angali mtoto minor akmuua mdhalilishaji wake sex master. Kesi imemsubiri akue ahukumiwe kunyongwa! Can you imagine? Hawa surviving R.Kelly producer kwanini wasiweke surviving sex masters ? You know why? Kwa sababu itaharabu sura ya super race whites...stupid whites...Huwezi kuwa serious!
Kweli huelewi mwanaume mtu mzima akimrubuni kimapenzi binti mdogo anamuharibu vipi?
Kingine kwakuwa umesema hujui taarifa hizi ni kwamba huwa anawafanya watumwa wa ngono! Na kwenye kasri lake alikuwa nao mabinti kadhaa na wote aliwatumikisha kingono kwa aina azipendazo yeye.
Yote haya aliyasema binti mmoja aliyetoroka baada ya kuchoka kufanywa mtumwa wa ngono na R. Kelly
Mambo ni mengi...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ma feminist ni kama wale Vegans tuu haaaaa
Na pesa zake mezaniKwa matendo ya Kelly hapana aiseeee...
Binamu niko insta narefresh kila dakika kwenye page ya Uwoya nasubiri bomu alilolisema sioni kitu badala yake katupostia mpicha wake!
Ananikera kama nini... sijawahi hata kutembelea page yake ila leo umbea umenipeleka [emoji12]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo mnajifanya mko informed ili na nyie muonekane hampitwi na muda na mko kisasa (huu ni ushamba kama ule wa washamba wengine tu), mnasahau kwamba mnajivua nguo na kuonyesha ulimbukeni wenu katika nyanja ya habari.Jenga hoja zako kwa facts. Hivi kuna mwendawazimu gani angelalamika kama hao mabinti anaowaharibu wangekuwa na miaka kuanzia 18?
Wengi ni kuanzia miaka 13 hadi 17. Fuatilia kwa undani suala hili na sio kujenga hoja kwa mahaba.
Kama wahusika wamehojiwa na kukiri udhalilishaji waliofanyiwa na R. Kelly wewe ni nani hadi useme hakuwaharibu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yanii hizi kesi za Kubaka ushahidi sijui kama wanakuwa naoo..Ronaldo nae alisingiziwaa same ishuu...!Tatizo mnajifanya mko informed ili na nyie muonekane hampitwi na muda na mko kisasa (huu ni ushamba kama ule wa washamba wengine tu), mnasahau kwamba mnajivua nguo na kuonyesha ulimbukeni wenu katika nyanja ya habari.
1. Elezea hizo kashfa za udhalilishaji unazoona zinamtia Robert hatiani (weka na ushahidi ukiweza).
2. Weka uthibitisho unaoonyesha kuwa hao walalamikaji wanasema kweli na hawana nia ya kumchafua mtuhumiwa.
Otherwise na wewe ni kilaza mmoja tu na mshamba unayejaribu kujitutumua ili uonekane na wewe umo, kama huna ushahidi shut the f*uck up and sit your figureless a*s down.
Done.
Wapuuzi tu wanatafuta pesa na umaarufu wa rejareja kupitia migongo ya wenzao.Yanii hizi kesi za Kubaka ushahidi sijui kama wanakuwa naoo..Ronaldo nae alisingiziwaa same ishuu...!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818] [emoji817][emoji817][emoji817]Ms.SecretarySays a stranger...
Sent from my iPhone using JamiiForums