R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Huyu ni mgonjwa, tatizo anaona yuko sawa, nyimbo na message zake kweli bomba, ila lazima akubali aliyoyafanya, na apate matibabu..
 
Tatizo mnajifanya mko informed ili na nyie muonekane hampitwi na muda na mko kisasa (huu ni ushamba kama ule wa washamba wengine tu), mnasahau kwamba mnajivua nguo na kuonyesha ulimbukeni wenu katika nyanja ya habari.
1. Elezea hizo kashfa za udhalilishaji unazoona zinamtia Robert hatiani (weka na ushahidi ukiweza).
2. Weka uthibitisho unaoonyesha kuwa hao walalamikaji wanasema kweli na hawana nia ya kumchafua mtuhumiwa.
Otherwise na wewe ni kilaza mmoja tu na mshamba unayejaribu kujitutumua ili uonekane na wewe umo, kama huna ushahidi shut the f*uck up and sit your figureless a*s down.

Done.
My my my my......in pastor Kimaro's voice hahahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Documentary ya Surviving R. Kelly haiwezi kumuacha salama, mwanzoni alitishia kuwafungulia kesi badala yake kakimbilia maombi?

Hata hivyo R. Kelly kazidi jamani. Tuache kasumba ya kutetea kisa weusi wenzetu.
Niliangalia interviews za aliyekuwa mke wake (Andrea Kelly) nilitokwa na machozi! Jamaa ni mnyama.

This time wamemuamulia, sidhani kama ‘atasurvive’ tena.
Pamoja na mziki wake mzuri ila ifikie wakati tutenganishe career na mhusika.
Nafuatilia kwa karibu hili, ngoja tuone itakuwaje.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Alimfanya nini mkewe?
 
Hahaha hatari .... haya mambo ya kula vitoto mbona watu wengi wanafanya aisee ...ila ndio hivyo wakifika mbele ya camera wanajifanya ma-saint ...

Amini kwamba kila binaadamu ana kichaa chake ... shida inakuja pale unapo ruhusu kutawaliwa na hicho kichaa (udhaifu ),wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula vitoto siyo tatzo,,hata mimi as sugar dady nakulaga tukijilengesha ila siyo anavyokula yeye hadharani na huku anajijua anaonwa na wengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom