Hao weusi wanavuna walichopanda ila Marekani wangekuwa hawabagui hawana duble standards Harvey Weinstein angekuwa jela kitambo sana.Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?
Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ule msemo wa gari nzee (iliyochoka )haiwezi kusukumwa na gari nzee nyenzie ila itavutwa na gari nzima ina maana sana. Mwisho wa udhalimu huwa ni aibu kelly ana kesi ya kujibu hapoKwema Sheikh...
Kitambo sana na shutuma zote alishinda ndio maana jamaa wameamua kuja na documentary ya ‘Surviving R. Kelly’ hahaaaaa
Aaliyah alimuoa kwa siri akiwa na miaka 15! Na mambo yalipoanza kupamba moto jamaa akahojiwa akaulizwa anapenda kutoka kimapenzi na teenager? Eti akauliza “Kwani tunazungumzia umri gani?” Lol
Pia akaenda mbali kwa kusema moyo wake unasema hapana ila mwili wake unasema ndio. Dooooh!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nope but experience and trend show us that the whites tends to bury the history of the greatness of a blackman whenever the chance occurs... Reference is made from limb chopping by Belgians in Congo, cutting nose of black statues in Egypt, the killing of Martin Luther King and mud slinging of these celebrities now.
The white man is on the mission to wipe out our history.
Kibongo bongo hiyo age mbona washakubuhu sana, hata majuu kwa umri huo wanakuwa washakubuhu sema mzigo wa ustaa ndo unaomuelemea..
Ebu kuwa muwazi wewe umeanza hayo mambo ukiwa na umri gani alafu fuatilia na hapo mtaani kwako unapoishi ndo utapata uhalisia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga hoja zako kwa facts. Hivi kuna mwendawazimu gani angelalamika kama hao mabinti anaowaharibu wangekuwa na miaka kuanzia 18?
Wengi ni kuanzia miaka 13 hadi 17. Fuatilia kwa undani suala hili na sio kujenga hoja kwa mahaba.
Kama wahusika wamehojiwa na kukiri udhalilishaji waliofanyiwa na R. Kelly wewe ni nani hadi useme hakuwaharibu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
...acha sympathy zisizo na kichwa wala miguu kwa wanawake wenzio...mpona hatujawasikia kumlaumu mfalme Suleiman wa kwenye biblia kwa kuwa na wake 700 plus 300 mademu....mwanaume halisi kuwa na mke zaidi mmojaKwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?
Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?
Sent from my iPhone using JamiiForums
...yeahAnawaharibu kivipi???
kama ni binti amefika umri wa miaka 18 ametongozwa kakubali ni sawa....labda utufafanulie anawadhalilisha kivipi??
Hebu weka machache ya hiyo interview ya mkewe ili tuone huo unyama tafadhari....coz inawezekana alikuwa ana michepuko tu ukaamua kusema ni unyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je anakuwa anawateka ama inakuwaje? Ningependa kufahamu hapo maana utekaji ni kosa, na je utekaji nao ni moja ya makosa yanayomwandama? Asante
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosaKwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?
Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?
Sent from my iPhone using JamiiForums
...halafu ninajiuliza VIP hao wazungu wenzao hawafanyi kama haya ya R.Kelly ...na mbona hawafanywi chochotetuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa
Generation curses itakuwa ndio maana mchungaji ameikemea hapo. Labda ametubu na kuomba msaada wa maombiR. Kelly is sick.
Thus far only his talents have carried.
Other than that he is a sexual predator who is functionally illiterate.
Dude can barely read.....
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa
tuna uhakika gan kama amebaka, au kwasababu wazungu wametuambia? maana hata michael jackson tuliambiwa hivyo hivyo! na mahakama zao hao waliomtuhumu zikashindwa kuona makosa
Generation curses itakuwa ndio maana mchungaji ameikemea hapo. Labda ametubu na kuomba msaada wa maombi
Sent using Jamii Forums mobile app