R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Kwa nilivofatilia inaonesha Yule Robert anaumwa,maana mabinti wote wanasema jamaa huwaomba mzigo Kwa nguvu,hata ufanyaji wake ni ile rough,then hupenda kuwalazimisha wamuite dad,why!mara mwingine anasema alipokua akimfanya alikua anamlazimisha aongee Maneno flan hv dirty,kitu ambacho wote wameongea kinafanana ni kuwa jamaa anapenda kutake control ya Kila jambo,hata kutaka kwenda bafuni,chakula gani wale,nk nk.watu wa saikoloji mnisaidie kujua huyu jamaa ana tatizo gani kitaalam?
 
Stop putting the man down none of those women had any proof.... they are looking for money nothing else...
 
nyimbo zinasemaga!
""AGE AINT NOTHING BUT A NUMBER"
kifo cha Aaliyah kilikuwa na maswali mengi sana!
KAMA VILE KUNA MENGI YATAIBUKA ZAIDI YA UBAKAJI
 
SADIST!
 
Plus the shooting of black men by the American Polices, which occurs several times in US...its hard to hear this happens to Whites.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha mtume alioa miaka 9/11 tatizo liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…