R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Nifah

Shosti, hili sakata lina mambo mengi sana.

Usichukue upande. Bado mapema.

Just sit back and watch.
 
Shosti, hili sakata lina mambo mengi sana.

Usichukue upande. Bado mapema.

Just sit back and watch.
Kweli. Majuzi R Kelly akiwa club kwenye his birthday party kuna mtu akawapigia Polisi wakamkamate R Kelly na anayo arrest warrant!

Polisi kufika wanagundua hakuna hiyo arrest warrant wakamuomba radhi aendelee na party yake! Kazi ipo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?

Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Haki ya Mungu. Wanaume tunabakwa sana na vibinti, na Mabinti, wake za watu. tena siyo kwa kificho sijui akulingishie kipaja no, waziwazi hivi.

Hapo ujue ni mimi kapuku sina hela! wala kitu cha maana! lkn demu anataka mambo kwa nguvu kupitia michezo kama anatania kumbe kweli!

Wazungu ndo wana tabia ya kubaka watumwa wa kike,tangu zama, si kwa kupenda kwao bali kwa lazima ndo matokeo ya Mulattoes, waarabu, na wapemba. sasa leo wanatugeuzia kibao sisi!

Jambo lingine ni wivu wa high Black Density Population increase in de World, more particularly in USA, weupe wana shaka kuwa soon weusi wata over take whites flocks population wise!

kama yalee ya Australia ya weupe (1960) dhidi ya Aboriginal agritos! they are doing it at a sophisticated sneaking level, so as to avoid public eyes at any cost!

Brother acha masihala Mkuyenge ili usimame barabara unataka amani kichwani na mwilini! ili uvute hisia kwenye ubongo wako from a Anterior Pituitary grand the central point of sexual control for both sex, !

Kwanza ile kuwaza tu sasa ninabaka miaka 30 hiyooo! mambo yangu 1,2,3...mengi yatasimama inafanya mfinyuuuuu! dororo!
mke akinuna tu Nyumbani, ukiwa na mawazo. ukisononeka ni lazima Mboo ilale, unakuwa hanithi wa Muda, sembuse kubaka?

Mke mtu gani asiyetaka hela ya Kelly hapa Duniani? hata kuishi naye tu kwenye ule mjumba? km mimi hela ya madafu wananipapatikia sembuse yeye millionaire?

Km kweli walibakwa ni imani yangu isiyotetereka kuwa walipandikizwa na weupe, kupitia weusi,
weupe km kawaida yao wanamtindo muumane nyie kwa nyie, kwa jinsi alivo ombewa hivo? tena kwa kujipeleka! siyo rahisi!

Blacks wasivo pendana waliona wamkandamize mweusi mwenzao tu! ajabu hata Bongo wanaofukuzana kwanza kama kuku kabla ya mapenzi,wanamkandamiza au pia weusi walitishiwa kuuawa,km wakipindisha ushahidi, nyani anakufa mida yeyote huko Holywood na hakuna wa kuhoji!
 
Back
Top Bottom