Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Jayz kawamalizaje hawa?That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.
Ajakiuka masharti siku alikiuka masharti au kutaka kurudi kwa MUNGU ni lazima wammalizeJayz kawamalizaje hawa?
Hajawahi kumuoa na kitendo cha Aaliyah kushinda studio kwa R.kelly kulimgharimu R-kelly kiasi cha kutenganishwa nae kwa amri ya mahakama.Hivi yule aliyeimba 'Try again' inasemekana R Kelly alimuoa akiwa na miaka 15 je alipata ridhaa ya wazazi wake?
Angekuwa bado yupo nao hata angefanya zaidi ya hivyo wasingemuweka jelaNaomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Yah ! Akina Jeffrey Epstein mpaka wamefia jelaUtawaweza wabongo kwa conspiracy zao utasikia wazungu hawapendi weusi wakati hata wazungu wengi pia wapo gerezani
Ni kweli kabisa wala hujakoseaHuenda nae ni muhanga wa ulawiti wa mbabe kelly
Tena angefungwa hata kifungo Cha maisha kutumia utajiri na umaarufu wako kunyanyasa watoto huo ni zaidi ya ushetani na mtu mwenye akili hawezi kutetea uovu.Naomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Jinai ikifunguliwa haioziMiaka 15 kafikisha leo? Kipindi hicho hakua na miaka 15? Kwanini leo na si then muhoji haya?
Yah Kelly alishakiri mwenyewe mkuuWabongo ujuaji mwingi sana na conspiracy zao no wonder wale jamaa Wakenya waliuza sana CD za mahubiri ya Freemasons enzi zile..R Kelly mwenyewe kwa mdomo wake mahakamani kakiri wazi kwamba alitembea na marehemu Aaliyah akiwa under age wabongo wanakazia kwamba jamaa kaonewa na kwamba weusi wake umemponza
Yes, ila why now? Jina inaacha kuoza kisa mmekorofishana nae?Jinai ikifunguliwa haiozi
Ova
hakuna aliyeona robert akilawiti au kuwatomasa watoto wa miaka 6 sehemu za siri,haya yote yanatolewa kama ushahidi mahakamani kwa mdomo.Naomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
We jamaa una argue kitoto sana, wewe hapa umekaa unakaza shingo ila mtuhumiwa akiwa kizimbani anakubali mashtaka yake, hivi ata ulikuwa unafatilia mwenendo wa hii case au we una comment tuhakuna aliyeona robert akilawiti au kuwatomasa watoto wa miaka 6 sehemu za siri,haya yote yanatolewa kama ushahidi mahakamani kwa mdomo.
nawaza tu,sijui kwanini ni sasa na si wakati huo.