Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Jayz kawamalizaje hawa?That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.