R Kelly’s lawyer confirms singer’s marriage to Aaliyah when she was just 15

R Kelly’s lawyer confirms singer’s marriage to Aaliyah when she was just 15

tayari District artoney amelipeleka ofisini so now ipo chizi ya uchunguzi ukikamilika jamaa anakamatwa...

ila maisha yake yameshakuwa magumu juzi alikuwa anapiga story na mademu wawili kwenye trump tower raia wema wakapiga simu kuwa rkelly anahatarisha usalama wa wale mademu polisi ghafla wakaja wakamkata jamaa sema mademu wakamuokoa wakasema hakuna tatizo

ila wazazi wa hao mademu wakaenda vyombo vya habari wakasema walishawahi kugombana na rkelly kisa alikuwa anawachanganya watoto wao(hao mademu) na kuwanyisha threesome

jamaa hana pakuchomokea this time

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa angali kama hapa,hao wazazi kama sio wanatafuta pa kutokea ni nini!!!yaani mtu asisimame na watoto wa kike tayari kawala.

Design jamaa ana makosa ila wanaomtuhumu wako kihisia zaidi,nimesoma sehemu hapo nyuma mwanae anamkana na anasema baba yake hana msaada,kumbe hiyo inaweza kuwa sababu ya yeye kumtolea ushahidi jamaa.
 
sema jamaa makosa ya kula watoto wadogo alianza muda kabla hata huyo mwanake hajazaliwa....

kesi yake ya kwanza ni 1995 kumuoa aaliyah akiwa na miaka 15 wazazi wa aaliyah waliingilia kati judge akaifutilia mbali hyo ndoa sema aaliyah aligoma kutoa ushahidi mahakani...

kesi ya pili ni mwaka 1996 alifungua hawkins hivyo hivyo kelly akatumia hela zake wakamalizana nje ya mahakama...

kesi ya tatu ni mwaka 2000 video kabisa ilitoka nahisi ukiitafuta katka mtandao wa vivid unaweza ukaipata... ilikuwa anamkojolea bint mdogo na clip nyingine za sex na hata kwake walifanya search wakakuta camera ina pics za huyo bint sema binti akakimbia na hakutokea mahakaman kutoa ushahid

so kuhusu mtoto wake kumtolea ushahidi hii ni kesi ya kwanza ila jamaa ana makesi mengi kabla hata mtoto wake hajazaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom