Maswali yangu makuu ambayo hakuna aliyenijibu zaidi ya kusema tu hafai kama vile mwalimu alivyokuwa akisema kuhusu viongozi asiowataka kwasababu zake yeye binafsi bila ya kuangalia matakwa ya wananchi...
1)Sifa za Kiongozi tunayemtaka vs sifa alizonazo R.Mengi
2)Ni nini hasa kipimo cha kiongozi mwenye kufaa kutupitisha kwenye hii transition period.
3)Sifa za kiongozi huyo mwenye kutufaa kwenye transition period vs sifa za R.Mengi.
4)Sifa za viongozi wengine wanaotarajiwa kurun vs za R.Mengi.
Hapo ndipo pale penye maana halisi ya Fair, Respectfull and Honest disscussion on this man.
Kama tukiendekeza chuki tu basi hata yale mema tuliyonayo moyoni hayatutoka bali chuki pamoja na matukano, na pia tuzitafakari fikra zetu dhidi ya wale waliotutendea mema kabla hata hawajawa Viongozi kwani kinyume na hapo ni utovu wa fadhila!
Tunaona hata vyuoni na kwenye maisha unaweza kuwa nia mtaalamu wa jambo fulani na ukawa mweupe kwa jambo fulani...................(i)
Mengi kuwa mfanya biashara maarufu nchini is not sufficient condition that he can make a good president.
From ........(i) gives uongozi wa biashara != uongozi wa siasa
(where != not equal sign)
Umeuliza nini kipimo cha kiongozi mwenye kufaa kutupitisha kwenye hii transition period.
Answer:
Ikependeza kufanya promotion ya mtu ktk siasa kupata nafasi hiyo ya urais yaani mtu anayejua siasa tayari na pia awe anasifa za kiongozi bora,pia ambaye hata gawa kofia ,kanga na t-shirt za kumwaga kwa maana itapotokea hivyo ndio anakazi ya kurudisha mkopo ,na blackmail ina take over.
Hapo ndugu yetu Mengi kakosa sifa ya uzoefu wa siasa anachojua yeye ni kama wale kwenye pool table wanaweza kutaja angle zote za ball kuingia ila hajawahi onekana kushika stick.Tutasemaje kuwa huyu mchezo anaujua,mbona tumeshajadili sana na kusema uongozi si nia njema tu (ambacho kila kiongozi anatakiwa kuwa nacho) ila ni pamoja na uwezo to accomplish those good things due to the approach we get from experience/be familiar.
Vinginevyo labda tuamini tuuu anaweza kwa kuwa kaweza mengine kwa maana ya kuwa a win trust yetu kama ilivyo kwako ,basi tunaweza kusema ok anafaa.