Rabbi Mkuu wa Israel aagiza muinjilisti aliyejifanya myahudi afukuliwe kutoka kwenye makaburi ya wayahudi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Chief Rabbi wa Israel, ameagiza Muinjilisti mwanamama Amanda Elkohen aliyefafariki kwa ugonjwa kansa ya utumbo na kuzikwa katika Makaburi ya wayahudi huko Israel, mwili wake ufukuliwe kutoka katika makaburi hayo.

Muinjilist Amanda pamoja na mumewe, walikuwa wakijifanya nao ni wafuasi wa dini ya kiyahudi na hivyo kuwa wayahudi ilihali walikuwa ni Wakiristo.

Ifahamike kuwa ukiwa Israel, ni marufuku Kuinjilisha, yaani kuwapiga Injili Wayahudi. Kama wewe ni mtu kutoka Taifa jingine ukikutwa unainjilisha basi kosa hilo linatosha kukufukuzisha nchini humo.

Kwa habari zaidi juu ya taarifa hii unaweza kuisoma hapa:

Chief Rabbi wa Israel, ameagiza Muinjilisti mwanamama Amanda Elkohen aliyefafariki kwa ugonjwa kansa ya utumbo na kuzikwa katika Makaburi ya wayahudi huko Israel, mwili wake ufukuliwe kutoka katika makaburi hayo.

Myinjilist Amanda pamoja na mumewe, walikuwa wakijifanya nao ni wafuasi wa dini ya kiyahudi na hivyo kuwa wayahudi ilihali walikuwa ni Wakiristo.

Ifahamike kuwa ukiwa Israel, ni marufuku Kuinjilisha, yaani kuwapiga Injili Wayahudi. Kama wewe ni mtu kutoka Taifa jingine ukikutwa unainjilisha basi kisa hilo linatosha kukufukuzisha nchini humo.

Hii hata siyo news. Hapo Bagamoyo miaka michache iliyopita Waislam walitaka maiti ya mtoto Mkristu iliyozikwa kwenye makaburi ya Waislam iondolewe na kweli ilifukuliwa na kuhamishiwa kwingine.
 
Haya majamaa yanazo roho mbaya sana, kama yanaweza kukasirikia maiti ndani ya kaburi vipi washindwe kuwakasirikia watu wengine mfano Wapalestina nk !!???
 
Hii hata siyo news. Hapo Bagamoyo miaka michache iliyopita Waislam walitaka maiti ya mtoto Mkristu iliyozikwa kwenye makaburi ya Waislam iondolewe na kweli ilifukuliwa na kuhamishiwa kwingine.
Kwa waislamu hiyo siyo news, Ila sasa kwa Wayahudi , "Taifa Teule" ambao ni rafiki wa Wakiristo kwa nini wafanye hivi?
Tena ni Amri ya Chief Rabbi!
 
Nani alikwambia Israeli ni Taifa Teule ? Nani alikwambia Mayahudi wana urafiki na Wakristo...?

Kuna kitabu nilisomeshwa kinaongelea Historia ya dini za kale na makundi mbali mbali,ukiingia katika dini ya Uyahudi utaona urafiki wa kinafiki baina ya Uyahudi na Ukristo ulipo anzia,ukienda mbele zaidi utakutana na itikadi za Uyahudi,hapa ndipo kuna kizaa zaa. Mayahudi wanaamini ya kuwq Wanadamu wote ambao si Mayahudi wao ni Mbwa tu na ni wameumbwa kwa ajili ya kuwatumikia Mayahudi.

Tatizo watu hawasomi vitabu na kufanya utafiti.
 
Ina maana wewe hujui lile andiko la amlaaniye Israel.....?
 
Nacho jua mimi Mayahudi wameshalaniwa na Daudi kadhalika na Issa (Yesu).

Mayahudi walichukua baadhi ya mafundisho ya nabii Musa wakayaingiza katika kitabu chao,na kujidai wanamfata nabii Musa.

Allah awalani Myahudi.

Kingine usichanganye kati ya Israeli na Uyahudi. Hivi ni vitu kando.

Tuki lidurusu hili linalo itwa taifa teule la sasa la mwaka 1948 utakuja kuona ni zao la chama cha kizayuni. Wavamizi na watu waovu tu.
 
Ifahamike kuwa ukiwa Israel, ni marufuku Kuinjilisha, yaani kuwapiga Injili Wayahudi.

Jerusalem​

The Western Wall and Dome of the Rock, on top of the Temple Mount

Jerusalem plays an important role in three monotheistic religionsJudaism, Christianity, and Islam — and Haifa and Acre play a role in a fourth, Baháʼí. Mount Gerizim is a holy site to what can be considered a fifth, Samaritanism. The 2000 Statistical Yearbook of Jerusalem lists 1204 synagogues, 158 churches, and 73 mosques within the city.[88] Despite efforts to maintain peaceful religious coexistence, some sites, such as the Temple Mount, have been a continuous source of friction and controversy. Jerusalem has been sacred to the Jews since the 10th century BC. The Western Wall, a remnant of the Second Temple, is a holy site for Jews, second only to the Temple Mount itself.[89]

Christianity reveres Jerusalem not only for its role in the Old Testament but also for its significance in the life of Jesus. The land currently occupied by the Church of the Holy Sepulchre is considered one of the top candidates for Golgotha and thus has been a Christian pilgrimage site for the past two thousand years.[90][91] In 1889, the Ottoman Empire allowed the Catholic Church to re-establish its hierarchy in Palestine. Other ancient churches, such as the Greek, Armenian, Syrian, and Coptic churches are also well represented in Jerusalem.[92]
 
Kwa waislamu hiyo siyo news, Ila sasa kwa Wayahudi , "Taifa Teule" ambao ni rafiki wa Wakiristo kwa nini wafanye hivi?
Tena ni Amri ya Chief Rabbi!
Wako sawa, Israel ni taifa la kiyahudi siyo la kikristu. Ila tungeanza na hoja za nyumbani -Bagamoyo kabla ya kufika Israel.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Nacho jua mimi Mayahudi wameshalaniwa na Daudi kadhalika na Issa (Yesu).

Mayahudi walichukua baadhi ya mafundisho ya nabii Musa wakayaingiza katika kitabu chao,na kujidai wanamfata nabii Musa.

Allah awalani Myahudi.

Kingine usichanganye kati ya Israeli na Uyahudi. Hivi ni vitu kando.

Tuki lidurusu hili linalo itwa taifa teule la sasa la mwaka 1948 utakuja kuona ni zao la chama cha kizayuni. Wavamizi na watu waovu tu.
Judaism ni dini kongwe zaidi ya uislam na ukristu. Nje ya Judaism hakuna ukristu wala uislam. Agano la Kale na Quran ni maboresho tu ya Judaism wala hakuna cha zaidi.

Sisi waislam tunasema hivyo, ila wayahudi wenyewe wanasema: sisi waisrael ni umma chaguo la Mungu, na tunapomuomba Mungu, maombi yetu anayakubali hapohapo.
 
Kwa waislamu hiyo siyo news, Ila sasa kwa Wayahudi , "Taifa Teule" ambao ni rafiki wa Wakiristo kwa nini wafanye hivi?
Tena ni Amri ya Chief Rabbi!
Nani alikuambia judaism ina urafiki na Ukristo. Never ever.
Tujikombe kwa kuwa Yesu ni Myahudi,au kwa kuwa manabii walikuwa wayahudi hiyo ilikuwa njia ya Mungu kuufikia ulimwengu wote
 
Wako sawa, Israel ni taifa la kiyahudi siyo la kikristu. Ila tungeanza na hoja za nyumbani -Bagamoyo kabla ya kufika Israel.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hii ni international news, iko kwenye jukwaa mahala pake, hiyo ya Bagamoyo peleka kwenye habari mchanganyiko
 
Judaism ni dini kongwe zaidi ya uislam na ukristu. Nje ya Judaism hakuna ukristu wala uislam. Agano la Kale na Quran ni maboresho tu ya Judaism wala hakuna cha zaidi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unaandika mambo ambayo huna ushahidi nayo. Nijibu maswali haya.

1. Niambie uyahudi ulianza lini rasmi ?

2. Thibitisha ya kuwa Agano la kale na Qur'aan ni maboresho ya dini ya Uyahudi.

Kingine unaposema Uyahudi ni dini kongwe unatakiwa uainishe ni dini kongwe ukilinganisha na Uislami alio kuja nao mtu,ila Uislamu wa ujumla ulikuwepo hata kabla ya Uyahudi,maana mitume na manabii wote walikuwa Waislamu,maana yake Uislamu ulikuwepo hata kabla ya Uyahudi.

Ukisoma vitabu vya Historia na ukifanya utafiti utaona ya kuwa haijulikani ni lino rasmi Uyahudi ulianza ila zama za Musa Uyahudi haukuwepo ila wapo wanao sema Uyahudi ulianza baada ya kuondoka nabii Suleymani.
 
Back
Top Bottom