Unaandika mambo ambayo huna ushahidi nayo. Nijibu maswali haya.
1. Niambie uyahudi ulianza lini rasmi ?
2. Thibitisha ya kuwa Agano la kale na Qur'aan ni maboresho ya dini ya Uyahudi.
Kingine unaposema Uyahudi ni dini kongwe unatakiwa uainishe ni dini kongwe ukilinganisha na Uislami alio kuja nao mtu,ila Uislamu wa ujumla ulikuwepo hata kabla ya Uyahudi,maana mitume na manabii wote walikuwa Waislamu,maana yake Uislamu ulikuwepo hata kabla ya Uyahudi.
Ukisoma vitabu vya Historia na ukifanya utafiti utaona ya kuwa haijulikani ni lino rasmi Uyahudi ulianza ila zama za Musa Uyahudi haukuwepo ila wapo wanao sema Uyahudi ulianza baada ya kuondoka nabii Suleymani.