Rabbi Mkuu wa Israel aagiza muinjilisti aliyejifanya myahudi afukuliwe kutoka kwenye makaburi ya wayahudi

Sisi waislam tunasema hivyo, ila wayahudi wenyewe wanasema: sisi waisrael ni umma chaguo la Mungu, na tunapomuomba Mungu, maombi yetu anayakubali hapohapo.
Cha msingi si wao kusema,bali wao wathibitishe ukweli juu ya hayo wanayo yasema. Hutaona ukweli wowote juu ya hayo wanayo yasema.
 
Uficho uliokuwa ukimzunguka MWENDAZAKE uhai wake, hata kifo chake kimezungukwa na uficho ndio maana hata sisi wengi wetu hatuna uhakika kifo chake kimesababishwa na nini.
Tuliza akili. Kisha uache utoto.

Soma ulicho kiandika.
 
Hii hata siyo news. Hapo Bagamoyo miaka michache iliyopita Waislam walitaka maiti ya mtoto Mkristu iliyozikwa kwenye makaburi ya Waislam iondolewe na kweli ilifukuliwa na kuhamishiwa kwingine.
Afadhali hao wa Bagamoyo Sisi huku Dodoma makaburi ya ndugu zetu hapo Hijra yamepandwa misalaba na kila siku yanapotea viongozi WA dini wametulia kimya kisa wao na familia zao hawazikwi huko
 
Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndugu yangu Missile of the Nation
kwenye ule uzi wako wa iran inaongoza kuikopesha Tanzania nilikwambia acha udini na utumie akili.
Na Leo narudi tena jarbu kutumia akili na udini uache . Lengo la uzi linaeleweka ila tu nikwambie unapoteza mda wako.
Kua acha utoto umri unaenda familia inakutegemea.
 
Udini gani wewe unaouzungumzia, kwani Waisrael ni Wakiristo hadi unihukumu juu kuzungumzia mambo yao?
 
Pamoja na hayo yote bado ni taifa teule.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizi mada zake inaonyeshea zinakuchoma sana, ila kama kweli unatafuta knowledge basi ni mda mzuri wa kujifunza mambo mengi kupitia kwake na sio kukasirika, kwanza jamaa anaongea mada zake zenye ukweli ingawaje huwa baadhi ya watu kama nyinyi hampendi, mnataka mada za Israel na marekani wameuwa mama na watoto 100 ndio mnafurahi sio
 
Ww utakuwa mfuasi wa mwamposa si bure
 
Kuwatetea wayahudi Mkuu, wao wanafuata Torah, na Torah ni kitabu kitakatifu na wayahudi wengi wa ukweli wapo against Israel.

Unaowaona Israel yaani mazayuni wengi kitabu Chao kinaitwa Talmud Mara nyingi ndio wanakifuata

Na hayo mambo yenye controversies unayakuta humu.

Wapo busy wanaandaa mazingira ya Kumkaribisha Dajjal.
 
Inaonekana mada zake zinakuchoma kama pasi,na unazifuatilia sana kumbe Eeeh!

Vumilia tu ndio ukweli ulivyo.
 
Wewe jamaa unapotosha..acha upotoshaji kwanini kila siku kulazimisha isaa awe yesu...bure kabisa

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hayo yote bado ni taifa teule.
Mlilo liteuwa nyinyi. Ila mbele ya Allah hao ni madhalimu waovu.

Kingine msichojua kuliita kwenu kuwa ni taifa teule hakufanyi liwe teule kweli.

Wengi wenu hamuwajui Mayahudi ni kina nani na ipi Historia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…