Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati wa mchakato wa uongofu katika msikiti, Rabbi Mort pia aliwaalika wanafamilia wake wote, pamoja na mkewe. Pia aliambatana na watoto wake.Awali, jina la Rabbi Mort lilienea kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sababu hiyo, alikubali kabisa kwamba Mtume Muhammad alikuwa mjumbe wa Allah. Ingawa wakati huo Rabbi Mort alikuwa kiongozi maarufu wa kidini, kutaniko na jumuiya ya Wayahudi walishangaa kusikia uamuzi huu. Hata hivyo, Rabbi Mort alielezea kwa upole kwamba mabadiliko haya yalikuwa sehemu ya safari yake ya kiroho. Alielezea heshima yake kwa mafundisho ya dini ya Kiyahudi, lakini pia alisema kwamba alipata amani na ukweli katika Uislamu. Bila shaka, kauli hii ilifanya baadhi ya vyama kujisikia wasiwasi.Watu kutoka dini yake ya awali mara moja walimshambulia Rabbi Mort kwa kutoa habari mbaya juu yake. Kwa kweli, watu wengi wanahoji ukweli wa hadhi yake kama kiongozi wa kidini.

View: https://youtu.be/eqKyEskoPH8?si=Pvf0voCoHZ7LjZcO

17,476 views Nov 22, 2023 #convertingintoislam #jewish

On this occasion, Islamic Secrets will reveal the story of a prominent Jewish family converting to Islam.A Jewish religious leader named Rabbi Mort announced his official conversion to Islam. Previously, Rabbi Mort really hated and was hostile to Muslims. However, Allah's guidance came down to him and he firmly converted to Islam. During the conversion process at a mosque, Rabbi Mort also invited all his family members, including his wife. and also accompanied by his children.Previously, Rabbi Mort's name went viral on social media. The reason is, he firmly admitted that the Prophet Muhammad was the messenger of Allah. Even though at that time Rabbi Mort was a well-known religious leader, the congregation and Jewish community were shocked to hear this decision. However, Rabbi Mort explained gently that these changes were part of his spiritual journey. He expressed his respect for the teachings of the Jewish religion, but also stated that he found peace and truth in Islam. Of course, this statement made some parties feel uncomfortable.People from his previous religion immediately attacked Rabbi Mort by making negative news about him. In fact, many people question the authenticity of his status as a religious leader.

Hawa siyo wakuwaamini. Wawe makini naye sana
 
Mimi aliniambia jamaa yangu mwenyeji wa hiyo dini kwamba as long as unachokisema kinaukuza uislam basi hata kama ni uwongo ”uliotukuka” kwa uwongo huo wale unaowadanganya wakashawishika kukuelewa basi wewe una sehemu yako ya pekee peponi.

So hapa huyu bibi yupo ktk ibada akitafuta pepo usimlaumu.
Kuna ongo moja linaitwa Ahmed Deedat lilirusha habari za Uongo eti Miracles ya Koran watu wakaenda kusoma wakakuta ni uongo akaulizwa kwanini unaongopa akasema ni Taqiya kudanganya kwa faida ya uislam sio dhambi ili Dini ikue hata kwa kuongopa..hii inaonesha ni ushetani maana walikubaliana na Allah kuwa awapoteze wapotee binadamu wote Astray
 
Uislamu una classes. Akibadili dini mzungu, myahudi ama msanii ama mtu maarufu mmoja wanafurahia sana hata kama wameuawawa waislamu laki 2.

Kwa maana kwamba roho moja ya mtu mmoja maarufu akislimu ina thamani mara elfu 40 kwa Allah kuliko mwarabu ama mtu asie na hadhi yoyote ila ni muislamu.

Ndio maana unakuta uislamu ama waislamu wanatumia nguvu na pesa nyingi sana kusilimisha watu maarufu kama wasanii, waimbaji, wacheza kikapu, mipira ama ngumi kina Tyson ili kutafta legitimacy ya uislamu wao.

Tukisema hii dini ni ya kitapeli watu hawaelewi.

Inaonekana jinsi gani umeumia na mada ya Ndugu yetu Faiza, pole sana.
 
Tazama wenzako, wanaujuwa ukristo kuliko wewe wanavyorudi na kujisalimisha kwa Muumba wao:

View: https://youtu.be/5ZImiItZHHY?si=zFe5nNEV5DuEapW4

Ukristo sio kitu cha kusema umekijua, ni kitu cha kuhisi mpaka kwenye nafsi yako na ndio maana kwenye Ukristo hamna maelekezo ya kila kitu kama ilivyo kwa waislamu ambapo huwa mnasubiri muelekezwe hadi namna ya kunya na kuosha mqundu.
Ndio maana hata wakati mnachinja Wakristo kuwalazimisha wajiunge hayo maushetani yenu, huwa hawapigani wanajiachia tu mnachinja, yaani wewe hapo tembelea kanisa uombewe hayo mapepo yakutoke uone utakavyohisi nini maana ya Ukristo.
 
Ukiona mtu anaanza maytusi elewa kuwa hana hoja.
 
Ukiona mtu anaanza maytusi elewa kuwa hana hoja.

Unaambiwa ukweli ili ukuweke huru
Ukristo sio kitu cha kusema unakijua, sio kitu cha kusema kwamba unajiunga Ukristo, ila ni suala binafsi kwamba ukiombewa, unalihisi mpaka kwenye nafsi, unajikuta unaacha dhambi mwenyewe na kuongozwa na Roho, jiulize wakati mnachinja Wakristo, mbona huwa hawalipizi licha ya wao kuwa na uwezo wa kuwafuta nyie kwenye uso wa dunia, yaani wewe hapo na maugaidi yako yote ukiokolewa na Yesu utakua unahubiri mpaka basi tu.
Alikuwepo Sauli ambaye alikua anachinja Wakristo, ila pale alitembelewa na Yesu, akawa anahubiri na kuandika sana kumhusu Yesu
Hivyo, mtazamo wako kwa Ukristo usitumie mlengo wa dini yenu hiyo, maana kwenu huko mnaishi kwa kuelekezwa na dini hadi vitu vya msingi jinsi gani ya kuosha mqundu baada ya kunya.
Nilisoma sehemu mnaelekezwa hata namna ya kugegeda, yaani wewe mama hapo kama uliwahi kuchuma mboga kwa mwanaume wako wakati anakugegeda ujue kwa dini yenu ni kosa hilo.....hehehe nyie watu bana
 
sipati picha Faiza ana chuma mboga.................aroooooooooo
 
Hayo yanatukia ili kuthibitisha uwepo wa nguvu kubwa kuliko ya kibinadamu. Tumejisahau sana. Ndio maana covid ., Russia against lgbtq then Israel vs Palestine ambayo ni kuthibitisha uwepo wa Mungu. Bila hivyo tungeamini kuwa hakuna Mungu. Ila kifupi iwepo wa Israel as flag bearer of God's kingdom on earth sijui iliishq au bado..as long wao ndio litmus paper of any Abrahamic religious. Islam bila torah can't exist.
why islam bila torah cant exist , kwani uislamu ulianzia na torah ??
 
Ukristo sio kitu cha kusema umekijua, ni kitu cha kuhisi mpaka kwenye nafsi yako na ndio maana kwenye Ukristo hamna maelekezo ya kila kitu kama ilivyo kwa waislamu ambapo huwa mnasubiri muelekezwe hadi namna ya kunya na kuosha mqundu.
Ndio maana hata wakati mnachinja Wakristo kuwalazimisha wajiunge hayo maushetani yenu, huwa hawapigani wanajiachia tu mnachinja, yaani wewe hapo tembelea kanisa uombewe hayo mapepo yakutoke uone utakavyohisi nini maana ya Ukristo.

Unaongelea kanisa lipi ??la Nabii wako Tito?
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Tupige kelele Israel iache kuua wapalestina.

Israel inawapa familia moja ya watu 2 inaua watu 12,000 halafu mnabakia kufurahia familia moja ya kiyahudi iliyobadili dini, ambayo kesho inaweza kubadili dini tena.

Ama roho ya myahudi mmoja akibadili dini ina thamani sana kuliko roho za wapalestina ama waislamu 12,000 ambao Israel imeua na inaendelea kuua?

Why dini zinafanya mnakosa akili ya kufik

Unachanganya mada, itakuwaje myahudi halafu uwe Muislam?

Sema wapo Waislam.wengi sana waliokuwa wayahudi zamani, kama ilivyo kwa wakristo. Kuna Waislamnwenginwaliokuwa Wakristo zamani.

Mwengine mpya huyu hapa:

View attachment 2826302
Hivi siku nikisilimu mimi naye nitageuka kuwa lijinga kama wewe?
 
Back
Top Bottom