Hivi kaa utumie akili ile picha wazungu wameleta wanakuambia eti ni huyo ni mungu aliyekuja kwa umbo la kibinadamu na ukaamini bila kufikiri hivi hujaamka tu ??
yaani mungu awe ni mzungu ?? Hiyo picha waliitowa wapi na miaka 200 tu iliyopita kulikuwa hakuna camera ??