Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu ...
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa mambo kadhaa hapa ulimwenguni tangu siku moja nilipopewa jarida moja la habari na kukuta taarifa inayomhusu binadamu mmoja anaeitwa Rabi Leo Baeck ...
Jaria lile lilikuwa linasema mengi sana kuhusu kazi za huyu binadamu na mambo yake mengine mengi sana,lakini kitu ambacho kilinistua ni madai ya huyu mtu kuhusishwa na ile alama iliyoko kwenye bendera ya Israel,yaani ile nyota ya pembe sita maarufu kama hexagram
Nyota hii iliwahi kutumiwa na Ujerumani kwenye vita ya Spain ya mwaka 1936,inadaiwa kwenye bendera ya Israel ya kale kulikuwa na alama ya Simba,hata gazeti moja la Uingereza la mwaka 1933,British newspaper, wakati wa vita na Israel liliweka nembo ya Nazi na nembo ya simba kuwakilisha nchi zilizokuwa ziko vitani
Huyu jamaa ana historia na vinavyodaiwa vyama vya siri,lakini pia inadaiwa ana mahusiano na familia ya Adolf Hilter,hapo nilistuka kidogo,kuna mwana familia mmoja wa familia ya Hitler ambae alikuja kuuwawa aliwahi kudai kuwa hakukuwahi kuwepo kwa kitu kinachoitwa mauwaji ya halaiki ya Wayahudi mil 6,makala na maelezo ya huyu marehemu nimekuwa nikizitafuta na sizioni kabisa bali nakutana na nyi ngine tu ambazo zinarejea maelezo ya huyu jamaa
Lakini tofauti na haya,kuna madai kuwa hii Israel tunayoiona leo sio ile ya kale,yaani ile ambayo iko kwenye maandiko ya Biblia,hii ni fake
Najiuliza kama kuna ukweli juu ya hili,unaweza kujiuliza nimekuwaje hadi nimeamua kuuliza hapa,lakini ninachotaka kupata hapa ni maoni ya watu kama wanajua kitu hiki ambacho nakifanyia utafiti maana najua hapa kuna watu wa aina nyingi sana na wana vitu adimu kuacha wale ambao wanajadili mambo kwa kuongozwa na hisia za kidini na chuki
Kwasababu hiyo basi ningependa t ujaribu kulitazama hili ili angalau tufike mahali tusaidiane
Asante ....
Karibuni wakuu Mkuu wa chuo , juve2012 , Ntuzu charminglady Sangarara na wengine .......!!
actually walipoligundua tatizo hilo la kumuunga yesu kuwa ndo lucifer bible version mbalimbali zikafanya juhudi kubadili japo kwa machale ndo maana aya hii imejaribiwa kubadilishwa katika kila version ili kujalibu kufuta
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu
ntakupa mifano ya hizo aya
Unachotaka kuendelea kupotosha ni nini?
Isaya 14:12 inasema "SON OF THE MORNING"
Na Ufunuo 22:16 inamalizia kwa kusema "BRIGHT AND MORNING STAR"
Hivyo vitu viwili viko sawa?
Wakuu ...
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa mambo kadhaa hapa ulimwenguni tangu siku moja nilipopewa jarida moja la habari na kukuta taarifa inayomhusu binadamu mmoja anaeitwa Rabi Leo Baeck ...
Jaria lile lilikuwa linasema mengi sana kuhusu kazi za huyu binadamu na mambo yake mengine mengi sana,lakini kitu ambacho kilinistua ni madai ya huyu mtu kuhusishwa na ile alama iliyoko kwenye bendera ya Israel,yaani ile nyota ya pembe sita maarufu kama hexagram
Nyota hii iliwahi kutumiwa na Ujerumani kwenye vita ya Spain ya mwaka 1936,inadaiwa kwenye bendera ya Israel ya kale kulikuwa na alama ya Simba,hata gazeti moja la Uingereza la mwaka 1933,British newspaper, wakati wa vita na Israel liliweka nembo ya Nazi na nembo ya simba kuwakilisha nchi zilizokuwa ziko vitani
Huyu jamaa ana historia na vinavyodaiwa vyama vya siri,lakini pia inadaiwa ana mahusiano na familia ya Adolf Hilter,hapo nilistuka kidogo,kuna mwana familia mmoja wa familia ya Hitler ambae alikuja kuuwawa aliwahi kudai kuwa hakukuwahi kuwepo kwa kitu kinachoitwa mauwaji ya halaiki ya Wayahudi mil 6,makala na maelezo ya huyu marehemu nimekuwa nikizitafuta na sizioni kabisa bali nakutana na nyi ngine tu ambazo zinarejea maelezo ya huyu jamaa
Lakini tofauti na haya,kuna madai kuwa hii Israel tunayoiona leo sio ile ya kale,yaani ile ambayo iko kwenye maandiko ya Biblia,hii ni fake
Najiuliza kama kuna ukweli juu ya hili,unaweza kujiuliza nimekuwaje hadi nimeamua kuuliza hapa,lakini ninachotaka kupata hapa ni maoni ya watu kama wanajua kitu hiki ambacho nakifanyia utafiti maana najua hapa kuna watu wa aina nyingi sana na wana vitu adimu kuacha wale ambao wanajadili mambo kwa kuongozwa na hisia za kidini na chuki
Kwasababu hiyo basi ningependa t ujaribu kulitazama hili ili angalau tufike mahali tusaidiane
Asante ....
Karibuni wakuu Mkuu wa chuo , juve2012 , Ntuzu charminglady Sangarara na wengine .......!!
Tayari kuna mmoja ameleta fujo hapo juuIf you want to deal with this issue for knowledge sharing and learning we will go well Eiyer. However, I dont think our zealot brothers and sister will let this go peacfully not to cause the closure of your thread.
Ahazi ndio alidondoka kutoka mbinguni?actually ile inaitwa nyota ya asubuhi ni sayari ya venus na ndo nyota inayong'aa asubuhi na kilatini no inaitwa lucifer.
na huu unabii wa isaya ulimhusu king ahaz alipofariki dhana kuwa ulimhusu shetani sijui ilipachikwa tu
Hueleweki hata unachotaka kusema hapaactually walipoligundua tatizo hilo la kumuunga yesu kuwa ndo lucifer bible version mbalimbali zikafanya juhudi kubadili japo kwa machale ndo maana aya hii imejaribiwa kubadilishwa katika kila version ili kujalibu kufuta
Mkuu nadhani tuachane na hawa wavurugajiWe acha tu!kazi ipo mkuu!kwa hiyo jamaa anataka kusema nini?Yesu ndio Lucifer?!ha ha haa!kazi tunayo na kizazi hiki!
Labda mimi naweza kuchangia kidogo hapa.. Kuna chama cha siri kinaitwa Rothschild naimani sio jina geni kwako we mfuatiliaji wa haya mambo... Sasa Rothschild imetumika kwa kiasi kikubwa sana kumfinance hitler, sambamba na vatican chini ya kanisa la roman cathoric under, pope pius.. Kwahivyo bas huu ukoo wakiyahudi wa Rothschild uliingia kwenye mkataba, katika kipindi cha vita ya kwanza ya dunia, chini ya mkataba unaoitwa Tha Barlfoul declaration ambayo by that time palestine was under Britain, sasa kutokana na vugu vugu ya vita ya kwanza na ujerumani kama kawaida kuonekan chachu, nakuonyesha upinzani mkubwa dhidi ya allies, Rothschild ili ishinikiza serikali ya uiingereza, kuwaruhusu wayahudi ambao by that time walikua wanakaa ulaya kuhamia palestine ambayo it was a mandate territory over the Britain. Makubaliano ya mkataba huu yalikua nikuhakikisha ili ujerumani kushidwa vita, inabidi mtoto wa uingereza ambaye ni Marekani kuingilia katika ya vita au mwishoni wa vita na kuongeza nguvu kwa allies ili washinde vita, na kwa wao kushinda vita ilikua ni kwakusign mkataba wa balfour wa kuwaruhusu wayahudi kuhamia palestine, huku wakiandaa harakati au upenyo au njia ya vita ya pili, na changamoto yote ya holocaust (mauuaji ya wayahudi katika vita ya pili), ili wayahudi wapate pakujitetea pakukimbilia walihali wenzao walisha tangulia kabla. Hivyo basi kwakua mchakato mzima uliundwa na wazayuni, ambao ni hao rothschild, Theodore herlz etc, na wao hao ndio walitunuku hyo bendera na hyo alama ya nyote kua hapo... "Kumbuka Rothschild ni jamii ya siri ambayo zina sadikika kumtumikia muovu ibilisi shetani, kwa wanao amini, na alama ya nyota au hexagram ni nembo kubwa sana kwa hizi jamii za siri na za kishetani" kumbuka kunatofauti sana kati ya uzayuni, ambao naweza kusema ni kama ugaidi kama isis, dhidi ya uisraeli wenyewe ambao tumeweza kuushuhudia katika maandiko matakatifu ambao umeletwa na mitume, manabii na wafalme. Nadhani nimejieleza vizuri.
Duh!Hicho unachoelezea ni kama ngano au hadithi za kusadikika. Mimi hawa watu nimekaa kwao kama miaka 5 nikipata muda nitawapa maelezo yote. Lakin pia kwa kukusaidia ni kuwa wapo wayahud uarabun, hasa yemen na persia yaan iran, ethiopia, mpaka india na huko ulaya marekan na south africa australia ni kwingineko. Na awali wakati wayahudi wote wameweka shinikizo wanataka kurudi nyumban. baadh ya mataifa ya ulaya walitaka kuifanya uganda ndio makao yao. Na pia tambua Quran na Bible zinawatambua kama ni wakaz halali wa eneo lile. Ndio maana zinaelezea namna walivyotoka misri. na idadi kubwa ya mitume au manabii kwenye hivyo vitabu vyote ni wayahudi. Swali linlojitokeza ni hili kwanini walichukiwa sana kila walikokuwa. Jibu ni kwamba hawa jamaa walikuwa na mafanikio makubwa sana kimaisha kila walikokuwa. Ngoja nitakuja na majibu ya kila alama ya nembo wanazotumia hawa jamaa.