Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Wakuu ...
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa mambo kadhaa hapa ulimwenguni tangu siku moja nilipopewa jarida moja la habari na kukuta taarifa inayomhusu binadamu mmoja anaeitwa Rabi Leo Baeck ...
Jaria lile lilikuwa linasema mengi sana kuhusu kazi za huyu binadamu na mambo yake mengine mengi sana,lakini kitu ambacho kilinistua ni madai ya huyu mtu kuhusishwa na ile alama iliyoko kwenye bendera ya Israel,yaani ile nyota ya pembe sita maarufu kama hexagram
Nyota hii iliwahi kutumiwa na Ujerumani kwenye vita ya Spain ya mwaka 1936,inadaiwa kwenye bendera ya Israel ya kale kulikuwa na alama ya Simba,hata gazeti moja la Uingereza la mwaka 1933,British newspaper, wakati wa vita na Israel liliweka nembo ya Nazi na nembo ya simba kuwakilisha nchi zilizokuwa ziko vitani
Huyu jamaa ana historia na vinavyodaiwa vyama vya siri,lakini pia inadaiwa ana mahusiano na familia ya Adolf Hilter,hapo nilistuka kidogo,kuna mwana familia mmoja wa familia ya Hitler ambae alikuja kuuwawa aliwahi kudai kuwa hakukuwahi kuwepo kwa kitu kinachoitwa mauwaji ya halaiki ya Wayahudi mil 6,makala na maelezo ya huyu marehemu nimekuwa nikizitafuta na sizioni kabisa bali nakutana na nyi ngine tu ambazo zinarejea maelezo ya huyu jamaa
Lakini tofauti na haya,kuna madai kuwa hii Israel tunayoiona leo sio ile ya kale,yaani ile ambayo iko kwenye maandiko ya Biblia,hii ni fake
Najiuliza kama kuna ukweli juu ya hili,unaweza kujiuliza nimekuwaje hadi nimeamua kuuliza hapa,lakini ninachotaka kupata hapa ni maoni ya watu kama wanajua kitu hiki ambacho nakifanyia utafiti maana najua hapa kuna watu wa aina nyingi sana na wana vitu adimu kuacha wale ambao wanajadili mambo kwa kuongozwa na hisia za kidini na chuki
Kwasababu hiyo basi ningependa t ujaribu kulitazama hili ili angalau tufike mahali tusaidiane
Asante ....
Karibuni wakuu Mkuu wa chuo , juve2012 , Ntuzu charminglady Sangarara na wengine .......!!

Last edited by a moderator: