Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Mkuu hebu niambie unavyojua kuhusu hiyo nyota inayodaiwa kuwa ni "star of David"!
soma hizi zitakusadia
http://www.menorah.org/starofdavid.html

“But You God are a shield for me…” (Psalms 3:4). David refers here to God as being his ‘shield’. This brings us to the topic of the ‘Magen David’, [lit. shield of David] popularly know as ‘the Star of David’, and regarded as a symbol of Judaism. Strangely, there is no mention of this symbol or its meaning in any authoritative Jewish book.(http://www.simpletoremember.com/jewish/blog/star-of-david-origin/)
 
mara nyingi mijadala kama hii huwa inaharibika kwasababu watu mind zo haziko huru.. mwisho huharibika kwasababu ya ushabiki wao wa kidini, kuna mambo mengi kwenye hii dunia yanaendelea ambayo watu hawajui...hata wakijua kwasababu mengi yako attached na dini basi wanayapuuza.... israel ya kwenye biblia ni tofauti kabisa na israeli ya sasa iliyoundwa na mwingereza... ndo maana hata huko israel kwenyewe kuna tabaka mbili za waisraeli asiliya ambao walikuwepo pale tangu na tangu na waisraeli wa kuja.. ambao walitoka duniani huko na kuletwa pale na ndio ambao wanafanya mashariki ya kati pasitawalike. tuhahitaji kuwa huru ili kuuelewa ulimwengu.
 
Katavi hajasema hayo mafundisho hayapo bali anakushangaa wewe kuyameza tu bila kufikiri!

nimeyameza kivipi,mi ni muslim bana,kumbe unadhani nimemeza kitu hapa?
 
Last edited by a moderator:
Ahazi ndio alidondoka kutoka mbinguni?

mbona umekariri neno mbinguni wakati inaweza ikaamanisha madaraka ya juu?,hebu soma aya kwa aya .
inasemwa aliwashinda wafalme na kupindua miji etc,
sasa lucifer aliyafanya lini hayo?
 
mbona umekariri neno mbinguni wakati inaweza ikaamanisha madaraka ya juu?,hebu soma aya kwa aya .
inasemwa aliwashinda wafalme na kupindua miji etc,
sasa lucifer aliyafanya lini hayo?



Kwanini uone madaraka wakati limeandikwa kua ni mbinguni?
 
Hueleweki hata unachotaka kusema hapa

Mara shetani na Yesu kafananishwa

Mara yale maandiko ya kwenye Isaya hayakumhusu Shetani bali mfale Ahaz

Kipi ni kipi?

Halafu umeshasahau thread inahusu nini?

tatizo hutaki kuwa open minded,nachofanya hapa nakupa concepts from different point of views,kama bado umejifungia kwenye box utapata shida kujua hasa nachotaka kuongea hapa.

still pia bado niko kwenye topic as far as the star of david is also in discussion au ulitaka tujadili nini hasa?
 
Kwanini uone madaraka wakati limeandikwa kua ni mbinguni?
yataka usome aya kwa aya utaconclude kuwa anaongelewa ni mfalme na wala si shetani,ngoja nijaribu kuiweka tena usome nukta kwa nukta
 
3--Tena itakuwa katika siku ile, ambayo Bwana atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;
4--utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema, Jinsi alivyokoma mwenye kuonea; Jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!
5--Bwana amelivunja gongo la wabaya, Fimbo ya enzi yao wenye kutawala.
6--Yeye aliyewapiga mataifa kwa ghadhabu, Kwa mapigo yasiyokoma; Aliyewatawala mataifa kwa hasira, Ameadhibiwa asizuie mtu.
7--Dunia yote inastarehe na kutuli
 
10--Hao wote watajibu na kukuambia, Je! Wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi!
11--Fahari yako imeshushwa hata kuzimu, Na sauti ya vinanda vyako; Funza wametandazwa chini yako, Na vidudu vinakufunika.
12--Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
13--Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
14--Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.
15--Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.
16--Wao wakuonao watakukazia macho, Watakuangalia sana, wakisema, Je! Huyu ndiye aliyeitetemesha dunia, Huyu ndiye aliyetikisa falme;
17--Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
18--Wafalme wote wa mataifa wamezikwa wote kwa heshima, Kila mmoja ndani ya nyumba yake mwenyewe;
19--Bali wewe umetupwa mbali na kaburi lako, Kama chipukizi lililochukiza kabisa; Kama vazi la wale waliouawa, Wale waliochomwa kwa upanga, Wale washukao mpaka misingi ya shimo; Kama mzoga uliokanyagwa chini ya miguu.
20--Hutaungamanishwa pamoja nao katika mazishi, Kwa maana umeiharibu nchi yako, Umewaua watu wako; Kizazi chao watendao uovu hakitatajwa milele.
 
22--Nami nitainuka, nishindane nao; asema Bwana wa majeshi; na katika Babeli nitang'oa jina na mabaki, mwana na mjukuu; asema Bwana.
23--Tena nitaifanya hiyo nchi kuwa makao ya nungu, na maziwa ya maji; nami nitaifagilia mbali kwa ufagio wa uharibifu; asema Bwana wa majeshi.
24--Bwana wa majeshi ameapa, akisema, Hakika yangu kama vile vilivyoazimia, ndivyo itakavyokuwa; na kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyotokea;
25--kwamba nitamvunja huyo Mwashuri vipande vipande katika nchi yangu, na juu ya mlima wangu nitamkanyaga chini ya miguu yangu; ndipo nira yake iliyo juu yao itakapoondoka, na mzigo wake utatoka mabegani mwao.
26--Hilo ndilo kusudi lililokusudiwa duniani mwote, na huo ndio mkono ulionyoshwa juu ya mataifa yote.
27--Maana Bwana wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?
28--Ufunuo huu ulikuja mwaka ule alipokufa mfalme Ahazi.
29--Usifurahi, Ee Ufilisti, pia wote, Kwa sababu fimbo ile
 
3--Tena itakuwa katika siku ile, ambayo Bwana atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;
4--utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema, Jinsi alivyokoma mwenye kuonea; Jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!
5--Bwana amelivunja gongo la wabaya, Fimbo ya enzi yao wenye kutawala.
6--Yeye aliyewapiga mataifa kwa ghadhabu, Kwa mapigo yasiyokoma; Aliyewatawala mataifa kwa hasira, Ameadhibiwa asizuie mtu.
7--Dunia yote inastarehe na kutuli



Hapa usichoelewa kitu gani mpk uje useme haya maneno yanamhusu King Ahazi? Kwa fasili gani Hiyo uliyotumia?
 
Hapo mkuu kuna story mchanganyiko, wanajaribu kuhihusanisha na mfalme Daudi lakini hakuna vithibitisho vya kuthibitisha hilo... Inasemekana ilianza kutumika mwaka 1897 katika movement za Wazayuni, na ni alama katika dini ya Kiyahudi, kuna theory nyingi kuhusiana na hiyo Star of David, lakini mimi ninaona ni kama madai ya Kiranga tu, ushahidi hakuna...

Ila bado naendela kuchimbua zaidi mkuu...

Kiranga umepita huku
 
Last edited by a moderator:
Hapa usichoelewa kitu gani mpk uje useme haya maneno yanamhusu King Ahazi? Kwa fasili gani Hiyo uliyotumia?
mbona iko wazi sana,nachoshangaa ni kwa jinsi gani aya hizo zikahusishwa na kutupwa kwa lucifer duniani.
kumbuka neno duniani katika isaya limetumika kuelezea maeneo ya huko wakati huo na si dunia kwa maana tunayoijua sasa
 
Hii thread inamvuto kidogo ntarudi baadae kuichangia
 
mbona iko wazi sana,nachoshangaa ni kwa jinsi gani aya hizo zikahusishwa na kutupwa kwa lucifer duniani.
kumbuka neno duniani katika isaya limetumika kuelezea maeneo ya huko wakati huo na si dunia kwa maana tunayoijua sasa

Kwa fasili gani unayotumia? Nitakutolea Mfano Hapa kidogo! Ktk mambo ya unabii Ukiona neno Maji humaani watu! Au mnyama humaanisha tawala! Sasa wewe ktk Hayo mafungu unatumia fasili gani? Naomba unijibu hili swali mkuu!
 
Kwa fasili gani unayotumia? Nitakutolea Mfano Hapa kidogo! Ktk mambo ya unabii Ukiona neno Maji humaani watu! Au mnyama humaanisha tawala! Sasa wewe ktk Hayo mafungu unatumia fasili gani? Naomba unijibu hili swali mkuu!

mkuu nawe bana,haihitaji fasiri iko wazi anaongelewa ni mtu na si shetani.kwa ufupi hakuna tukio la eti shetani kutupwa duniani kama msingi wa madai hayo ni hizo aya za isaya.
hivi hujiulizi kwanini hiyo concept haipo katika dini ya kiyahudi?
kwanini wayahudi hawakuibeba hiyo ya shetani kutupwa dunian?.
aya ziko wazi na hazijamtaja shetani,hebu soma tena step by step
 
Ahazwas twenty years old when he succeeded his father Jothamto the throne of Judea. He was a weak and idolatrous king. He even made his son walk through the fire of Moloch, aping the abominable custom of the Phoenicians. Another son, Hezekiah, who was to become king after Ahaz, was saved from the flames of the idol by his mother.
Soon great troubles and misfortunes befell the land and the king. The Edomites revolted, and even made a successful invasion of Judah, carrying off many captives. Then the Philistines also broke into some western districts of the land which they annexed to their own territory. Finally, Rezin, the king of Syria, who had Joined forces with King Pekah of Israelwhile Jotham was yet alive, marched on Judea together with his associate.
Ahaz suffered a crushing defeat at the hands of Pekah. Many people of Judea were killed and numerous prisoners were brought to Samaria. The prophet Obed went to meet the victorious army of Pekah and said: "Because G-dwas angry with Judah, He gave her into your hands. You have slain many in cruel rage; the rest you want to force into your service as man and maid-servants. Thus you bring guilt upon yourself. Return the captives of your brethren, that G-d's wrath may not come upon you." Some of the leaders of Israelsupported this plea of the prophet, and the captives were freed. They were fed and dressed and were transported back to their families in Judea.
 
Back
Top Bottom