Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
187
Habari

Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo

Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia pamoja na kutoheshimika kwa raia hasa wa ngazi ya chini ni vielelezo tosha kufanya watu wasipendezwe na utawala uliopo

Lakini utawala uliopo hata kama sio wa haki lakini upo kisheria na serikali ikishaundwa inatakiwa kuiheshimu na kufanya nayo kazi nzuri ya kuilinda na kuisadia kuleta maendeleo yanayohitajika.

Kupinga au kutetea haki ni jambo zuri lakini lazima utumie Postive constructive crtisizim katika kuonesha madhaifu na kuishauri serikali namna nzuri ya kufanya ili kuleta maendeleo au kujenga nchi pamoja.

Harakati alizokua anafanya mwanadada Rachel ni za kishamba maana alikua anatumia lugha za matusi ya nguoni ,anazungumza bila kuwa na facts ,anatweza na kudhalilisha Viongozi jambo ambalo sio zuri hata kidogo.

Endapo atakua amekamatwa itatakiwa iwe funzo kwa wengine kufanya harakati za kistaarabu huku tukiheshimu utu na hadhi za wenzetu na kufanya ukosoaji wenye faida na wenye lengo la kujenga nchi moja yenye upendo amani na maendeleo.
 
Mbona Trump anatukanwa kila siku na wamarekani( pamoja na watu wengine duniani) lakini watu hawatekwi wala kuuawa?

Rais Kikwete naye hadi aliitwa Rais dhaifu lakini hakuteka watu au kuwauà.

Je, kuteka na kuua watu kutakomesha watu kutukana?

Nashauri hao watu wanaotukana wapelekwe mahakamani ili sheria ifuate mkondo wake.
 
Sie wengine tulidhani huenda yule ni tisi wa aina yake, maana yale matusi ni ya wahuni wa mitaani, vibaka na walevi. Matusi yenyewe ni ya kizamani, matusi ya nguoni kutukana uchi wa mtu. Harakati gani zile za kutukana watu kihuni?
 
Habari

Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo

Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia pamoja na kutoheshimika kwa raia hasa wa ngazi ya chini ni vielelezo tosha kufanya watu wasipendezwe na utawala uliopo

Lakini utawala uliopo hata kama sio wa haki lakini upo kisheria na serikali ikishaundwa inatakiwa kuiheshimu na kufanya nayo kazi nzuri ya kuilinda na kuisadia kuleta maendeleo yanayohitajika.

Kupinga au kutetea haki ni jambo zuri lakini lazima utumie Postive constructive crtisizim katika kuonesha madhaifu na kuishauri serikali namna nzuri ya kufanya ili kuleta maendeleo au kujenga nchi pamoja.

Harakati alizokua anafanya mwanadada Rachel ni za kishamba maana alikua anatumia lugha za matusi ya nguoni ,anazungumza bila kuwa na facts ,anatweza na kudhalilisha Viongozi jambo ambalo sio zuri hata kidogo.

Endapo atakua amekamatwa itatakiwa iwe funzo kwa wengine kufanya harakati za kistaarabu huku tukiheshimu utu na hadhi za wenzetu na kufanya ukosoaji wenye faida na wenye lengo la kujenga nchi moja yenye upendo amani na maendeleo.
Mpumbavu wewe. Serikali imejaa wahuni, wauaji wanaoteka na kufanya kila uhuni halafu unajaribu kutishia watu hapa! Sijui hii ni ID ya kimama kimeshakunywa tena pombe kali!
 
Sie wengine tulidhani huenda yule ni tisi wa aina yake, maana yale matusi ni ya wahuni wa mitaani, vibaka na walevi. Matusi yenyewe ni ya kizamani, matusi ya nguoni kutukana uchi wa mtu. Harakati gani zile za kutukana watu kihuni?
Serikali ya kihuni ndiyo inajiweka kwenye angle ya kutukanwa na watu kama hao.
 
Nchi ina matatizo kibao wewe una concentrate na kuwekeza rasilimali kibao kutafuta mtanzania mmoja anayekutukana mitandaoni dhidi ya watanzania milioni 60??!!! Are you stupid?.

Huwa sishangai wazungu wanavyotubagua na kutuona kama nyani, kwa akili za namna hii hata mimi kama ningezaliwa mzungu ni dhahiri ningewabagua watu weusi na ningewaona ni kama nyani tu.
 
Si alisema hawawezi kumkamata na wala haogopi kukamatwa, wamemfikiaje huko japan?
 
Kuna viongozi kama wanne hivi na wastaafu wawili alikuwa anawaogesha matusi ya nguoni kama hana akili nzuri. Wawili zaidi ndio aliwaandama hakuacha kuwataja na kuwasiginia matusi makubwa mpaka tukaanza kuhisi huyu mdada si wa kawaida huenda yupo kazini kuzuga watu ni adui kumbe ni rafiki yao
 
Mtu ana kichaa chake, naye mnahangaika naye. Sio kila mtu aliyepo ughaibuni ana utimamu wa akili.

Mtu unatukana matusi ya ajabu namna ile, sijui nduguzo wanakuonaje? Unaaibisha wazazi wako na ukoo wako kwa ujumla
 
Si alisema hawawezi kumkamata na wala haogopi kukamatwa, wamemfikiaje huko japan?
Trump na ulinzi wake lakini wanadam wanapenya na kumkosakosa kumuua Sembuse huyo raia tu!
 
Kuna mtu alikua anaongea kistaarabu kuliko pole pole tena mama samia alikua anamuita muheshimiwa Rais majina kama mama mbona katekwa mapema sanaa

Yule mzee malisa sijawahi kusikia tusi hata moja katika speech zake lakini mbona alikamatwa

Church boy Soka mbona katekwa sijawahi kusikia katukana
.
Na Kwanza kutukana je hukumu yake ni kutekwa na kupotezwa kwanini asikamatwe na kufunguliwa kesi za defamation mahakaman unahisi kwanini sheria zimewekwa Kila anetukanwa ikiwa solution ni kuteka na kuua we unahisi ungezaliwa
 
Back
Top Bottom