Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Hata wewe key board warrior mda wowote unaweza kuweka kwenye mikono ya sheria ukaanza kutia hurumaWe fala nini, unadhani recruitment ya hao wakamataji inafanyika bila matusi? Tena matusi ndio lugha wanayoielewa kmmk
Kwani ukitukana ndio unarejesha uhai ? Hauwezi kuzungumza kwa namna nzuri bila kutumia matusi ya nguoni?Matusi yanakuuma kuliko uhai wa watu ?
Mbona wao hawaui kwa adabu? Ulitaka Rachel atumie lugha ya kistaarabu kwa watu wanaopoteza watu wetu, wewe ni mjinga?Kwani ukitukana ndio unarejesha uhai ? Hauwezi kuzungumza kwa namna nzuri bila kutumia matusi ya nguoni?
Mpumbavu wewe. Serikali imejaa wahuni, wauaji wanaoteka na kufanya kila uhuni halafu unajaribu kutishia watu hapa! Sijui hii ni ID ya kimama kimeshakunywa tena pombe kali!Habari
Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo
Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia pamoja na kutoheshimika kwa raia hasa wa ngazi ya chini ni vielelezo tosha kufanya watu wasipendezwe na utawala uliopo
Lakini utawala uliopo hata kama sio wa haki lakini upo kisheria na serikali ikishaundwa inatakiwa kuiheshimu na kufanya nayo kazi nzuri ya kuilinda na kuisadia kuleta maendeleo yanayohitajika.
Kupinga au kutetea haki ni jambo zuri lakini lazima utumie Postive constructive crtisizim katika kuonesha madhaifu na kuishauri serikali namna nzuri ya kufanya ili kuleta maendeleo au kujenga nchi pamoja.
Harakati alizokua anafanya mwanadada Rachel ni za kishamba maana alikua anatumia lugha za matusi ya nguoni ,anazungumza bila kuwa na facts ,anatweza na kudhalilisha Viongozi jambo ambalo sio zuri hata kidogo.
Endapo atakua amekamatwa itatakiwa iwe funzo kwa wengine kufanya harakati za kistaarabu huku tukiheshimu utu na hadhi za wenzetu na kufanya ukosoaji wenye faida na wenye lengo la kujenga nchi moja yenye upendo amani na maendeleo.
Serikali ya kihuni ndiyo inajiweka kwenye angle ya kutukanwa na watu kama hao.Sie wengine tulidhani huenda yule ni tisi wa aina yake, maana yale matusi ni ya wahuni wa mitaani, vibaka na walevi. Matusi yenyewe ni ya kizamani, matusi ya nguoni kutukana uchi wa mtu. Harakati gani zile za kutukana watu kihuni?
Trump na ulinzi wake lakini wanadam wanapenya na kumkosakosa kumuua Sembuse huyo raia tu!Si alisema hawawezi kumkamata na wala haogopi kukamatwa, wamemfikiaje huko japan?