Ila dada alikuwa anaongea matusi ya kuudhi na kudhalilisha viongozi sana. Hata kama alikuwa anajitambulisha kama mpinzani, aliyokuwa anaufanya sio upinzani, ni jinai na udhalilishaji.
Hakuna haja ya kutumia nguvu kupita kiasi, ashughulikiwe tu kwa mujibu wa sheria zetu inatosha. Atakuwa amepata haki yake na litakuwa fundisho kwa wengine.
Mkuu mikono salama imenwachia naona karudi Yule falaRasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Nashikwaga na hasira sana nikionaga picha za mauaji alafu unakuta fala anataja watu 500 kama wachache kipindi yeh kafiwa na kizee chake hadi sasa kajichimbia pangoni.Matusi yanawauma kuliko mauaji, utekaji, ufiraji unaofanywa na vyombo vya CCM?View attachment 3692082View attachment 3692083
Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Pumbavu sana, wewe ndio jini makata mwenyeweRasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
AssholeRasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
We acha tu, kuna watu wanadhambi hapa duniani hadi aibu hawaoni. Wakiwa wanafanya reference ya watu 518 utadhani ni idadi ya mifugo. Hawajui kama ni familia za watu, watu wamepoteza watu muhimu kwenye familia zao. Kuna watu huwa wanasema walikufa watu mia tano tu, wapinzani wanakuza mambo...binafsi huwa nawaambia "tufanye ni watu ishirini wala sio mia tano, waliuliwa kwa kosa gani?? Ni sifa nzuri hao watu kufa?? Waliowaua na waliotoa amri wauwawe wana amani huko waliko???Nashikwaga na hasira sana nikionaga picha za mauaji alafu unakuta fala anataja watu 500 kama wachache kipindi yeh kafiwa na kizee chake hadi sasa kajichimbia pangoni.
Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Nashikwaga na hasira sana nikionaga picha za mauaji alafu unakuta fala anataja watu 500 kama wachache kipindi yeh kafiwa na kizee chake hadi sasa kajichimbia pangoni.
Vipi bado yupo kwenye mikono salama?Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Mkuu jitokeze basi utueleze imekuwaje, mikono salama inavuja?Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Njoo utuambie Leo wewe nguruwe Rachel yuko wapi.Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.