antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Duh,Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Lichoko tuambie tenahivi ni yule mwenye domo kubwaaaah right?🐒
Atakuambia ni AI...Mkuu jitokeze basi utueleze imekuwaje, mikono salama inavuja?
Sure, Japan ni nchi pili ya duniani kuwa na passport ambayo ni powerful zaidi..Mnaishi kwa Ndoto eti?!Unawajua Japan vizuri wewe?!
Majuzi hapa wamemkamata Mhalifu kwa kutumia Makachero wa Tasnia ya habari ndani ya Taifa jingine..tena kubwa.
Na wanalalamikuwa mno kwa hilo
Huwezi kutukana Halafu baadaye uombe msamaha. Inatakiwa AMinywe
Ina ukoma .Mikono salama itakuwa iliungua