Yes Penal Code S. 8 Ignorance of the Law is not an excuseTusubiri afike Tz kwanza kama itathibitishwa na Dr kuwa hana akili sawa.ila vinginevyo kutojua sheria haikupi ithibati ya kufanya kosa
yule ni raia wa amerika, marekani haitakubali raia wake atekwe kindezi kwenye ardhi yakeKwa mange sahau ilo jambo never ata wahusika wenyewe wanalifahamu ilo yani umteke mtu kwenye ardhi ya USA unajitaka mzee na ata kama ukifanikiwa balaa utakalokuwa umelianzisha siyo la mchezo
Kama ni mgonjwa mahakama itaamuru apelekwe Mirembe.Sasa yule si mgonjwa wa akili ama?
Kumbuka auaye Kwa upanga Nae upanga unamsubiria!Mbona sijakuua wewe
yule mbona anaonekana ni mtu wenu kabisa, mnataka kutuaminisha nini?Mbona sijakuua wewe
... na ujanja wote, Stroke , umeambulia clip moja!!?Nimesikiliza clip yake haha anatukana sana.
😅... hapohapo!Hivi wamemkamatia wapi, Tokyo au Kumamoto?
tozo zenu watanganyika!Kwa hiyo zimetumika gharama kwenda kumsaka huko tokyo?
Ya Polepole yatamkuta, nasema "huenda".Kama ni kweli pongezi nyingi kwa CCM kwa kazi nzuri