D
Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
aliambiwa yupo danger zone.Mbona alirudi kundini? Watakuwa wanamuonea. Ila ana matusi sana.
Jidanganye, USA watu wanakodi hitman , anapigwa chuma kweupe habari yake kwisha..Huyo kimambi hata wakija watu wa delivery kwake anaogopa , nchi rahisi sana kuuliwa ni USA, kila mwaka wanaongoza kwa kesi za watu kuuliwa , ukija afrika ni South Africa.yule ni raia wa amerika, marekani haitakubali raia wake atekwe kindezi kwenye ardhi yake
Hii nchi kila mtu ni mwanasheria. Tofautisha ukamataji na upekuziKakamatwa na makachero wa kike au kiume? Ni mwanamke yule, kama kakamatawa anatakiwa akamatwe na wanawake wenzake, nilishaona askari wa kike wakikamata wahalifu wa kike
Mumfanye kama Mdude! Fukia tuu.Kama yupo Kwenye Mikono Salama Haina sababu ya kufikishwa Mahakamani.
Acha ujinga wewe yule ni kiporo tu Interpol wakiamua saa yoyote watamkabidhi hapo Airport.Kwa mange sahau ilo jambo never ata wahusika wenyewe wanalifahamu ilo yani umteke mtu kwenye ardhi ya USA unajitaka mzee na ata kama ukifanikiwa balaa utakalokuwa umelianzisha siyo la mchezo
one day utajua ukweli.Wajinga waliisha, mnateka watu halafu mnakuja kumsingizia Maria Sarungi!
Maria Sarungi ambaye alinusurika kutekwa anahusikaje kutekwa na vibaka hao hao wanaoteka watu leo ndio aje ateke mtu?
one day utajua ukweli.
Kibaka Free.. mliamini?
kwamba Maria amepitia nusu ya mapito ya Kengeza?
Nawambie tena Game hizo uchezwa very Smart.
kila kibaka ataonja anachostahili.Unamlinganisha Maria Sarungi na Freeman Mbowe ?
Mbowe aliwahi kutekwa ?
Acheni kujisifu ujinga, huyo Rachel kwa mambo aliyokua anafanya kupamba na majmabazi ya CCM hakutakiwa kujiachia kama alivyokua anajiachi sasa kama mmemteka kwa kumvizia ndio mnakuja kujisifu hapa?
kila kibaka ataonja anachostahili.
Good Day .
Endelea kuamini ujasiri wa Kuytpe ndio ujasiri ukiwa mbele ya plato.
Watchout.
Serikali haitakiwi kuogopwa inakiwa kuambiwa ukweli maana hakuna serikali bila wananchi
Mdude ndio naniMumfanye kama Mdude! Fukia tuu.
Mange hata watu wa delivery Tu anawagwaya Mzee, Kule hakuna kumteka the best option ni kupigwa Tu Chumayule ni raia wa amerika, marekani haitakubali raia wake atekwe kindezi kwenye ardhi yake