Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

Intepol kwani ni muahalifu
 
Sumaye naye alifanya nini mstaafu wa watu? Mzee anaogeshwa matusi sambamba na Makonda. Binti anatukana hadi mkuu wa nchi matusi ya nguoni bila aibu. Si alisema hawatamkamata huko Tokyo hata wafanye nini, sasa imekuaje akamatwe kindezi hivyo?
 
Ninapotofautiana na baadhi yenu hapa wengi ni kiwango kikubwa cha Unafiki, Chuki na kuendeshwa na Mihemko tu. Sasa kama leo baada ya kujaa Mfumoni tumebadilika ghafla na kusema alikuwa Mgonjwa wa Akili (Mwehu) ilikuwa muda wote anafanya aliyokuwa akiyafanya na tukawa tunamuona Shujaa mpya wa Taifa kiasi kwamba tulikuwa hasa tunayaamini kwa 85% hadi 90% Uwongo wake aliokuwa akijua kuufanya uonekane ni wa kweli?

Ninajua msiopenda huu Ukweli mtakuja kwa Kufura na Mashambulizi juu yangu na Mimi ninawakaribisheni sana tu.
 

Na mlalamikaji ni nani?
Nchi imekuwa ya kijinga sana...
Yaani kuna machawa wanachukizwa ovyo ovyo kama wana mimba changa za mabosi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…