Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Alizidi

Ana mitusi yule dada

Sio ya nchi hii
Hapo sasa jamani.
Mweee mweeeh mweeeeh. Je faiza, je mabeto balaaa tupu . atajifungia ndani wiki.
Yani yule mtu akiwa karibu au anapendwa na mama kenzo yeye alikuwa anamwandama tuu. Sasa yamemfika

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Linda je....

Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua


Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???

Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
na kichwapanzi pia
 
Kuwa mwanamke kweli mzigo....yaani mtu unashinda siku nzima kufikiri umchafue nani au uvae nini watu wakuongelee mitaani upate kujisikia kuwa umekamilika, wanawake mna visa jamani.
 
Kichwapanzi sijui kafia wapi

Alikuwa anaporomosha mitusi na kunanga uumbaji utathani yeye mreeeemboooooo


Baada ya kurushwa naona kapotea

Bado mapya2(ambaye wanadai alikuwa ni yule hg wa Mange???)
Kichwa panzi alidakwa na mange.
Akafunguliwa kesi , akapostiwa picha zake. Mbona aliikimbia account yake.
Bora angeendelea kupost. Ila aliacha hivyo inamaanisha ni yeye yule aliyedakwa.
Basi akabadilishaga na jina.. Aka unfolow watu sasa hivi sijui kama ile account ipo tena.
Mapya 2 bado siku yake. Ha ha ha

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Kichwa panzi alidakwa na mange.
Akafunguliwa kesi , akapostiwa picha zake. Mbona aliikimbia account yake.
Bora angeendelea kupost. Ila aliacha hivyo inamaanisha ni yeye yule aliyedakwa.
Basi akabadilishaga na jina.. Aka unfolow watu sasa hivi sijui kama ile account ipo tena.
Mapya 2 bado siku yake. Ha ha ha

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Hahaha ndio maana alipotea

Halafu watu wakaanza kutiririka historia ya familia yake hadi aibu yaani...ndio maana alikimbia

Cha kishangaza alianzisha bifu na mtu hamjui wala hawajawahi kuwa na mahusiano

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Mwenzenu nikajiuliza,anapata wapi muda wa kuandika matusi kutukana watu namna ile?kuna watu wa ajabu jamani na leo kaumbuka,hii technolojia hii unaweza sahau kumbe umejiweka live unakata gogo chooni bila kujua.Hatari sana.
 
Too low kwake wewe umefungua uzi huu kusoma tukuiteje sasa!!!

Ha ha haaa

Dunia aiishi vituko

Acha watu wapate burudani za real stories sio zenu mnaleta humu na za kutunga zimejaaa.
leo nimekupendaa atleast umekuwaa real..
 
Full maaibuuu!!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mi hapa jf kuna siku nsharusha picha uzuri kuna mtu ananijua akanishtua fastaa..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nkaiondoa@Bony...sisahau that day
Siku nikirusha na jinsi nilivyokuwa sijui kutoa. Ntaumbuka. Nielekeze unatoaje. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Si ndiyo mpaka awe na simu mbili. Ha ha ha.
Siku ya Leo hatoisahau.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app

Yaani hapana mtu huwezi kufanya hayo kwa akili fupi hivyo kabisaaaa na kutokuwekeza kwa kutumia pesa.

Watu wengine bado tunatumia vitochi kwa sabbau tofauti

Yeye anaenda kutumia smartphone na kuweka account zote za instagram kwa simu moja kweli ni mpumbavu na jinga kubwaaaaa kabisaaaa.
 
Back
Top Bottom