Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hiyo ndio habari ya mjinimjini tunasaidiana kushare....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ndio habari ya mjinimjini tunasaidiana kushare....
Hapo sasa jamani.
Mweee mweeeh mweeeeh. Je faiza, je mabeto balaaa tupu . atajifungia ndani wiki.
Yani yule mtu akiwa karibu au anapendwa na mama kenzo yeye alikuwa anamwandama tuu. Sasa yamemfika
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Sana jamaan huko alipo tumbo la kuhara limemshikaPole
Aibu zake leo
na kichwapanzi piaLinda je....
Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua
Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???
Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Mia,wewe jeHivi wewe una Ids ngapi?
Elfu....Mia,wewe je
Kichwapanzi sijui kafia wapina kichwapanzi pia
Kichwa panzi alidakwa na mange.Kichwapanzi sijui kafia wapi
Alikuwa anaporomosha mitusi na kunanga uumbaji utathani yeye mreeeemboooooo
Baada ya kurushwa naona kapotea
Bado mapya2(ambaye wanadai alikuwa ni yule hg wa Mange???)
Hahaha ndio maana alipoteaKichwa panzi alidakwa na mange.
Akafunguliwa kesi , akapostiwa picha zake. Mbona aliikimbia account yake.
Bora angeendelea kupost. Ila aliacha hivyo inamaanisha ni yeye yule aliyedakwa.
Basi akabadilishaga na jina.. Aka unfolow watu sasa hivi sijui kama ile account ipo tena.
Mapya 2 bado siku yake. Ha ha ha
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
This is too low for you my friend to deal with...
leo nimekupendaa atleast umekuwaa real..Too low kwake wewe umefungua uzi huu kusoma tukuiteje sasa!!!
Ha ha haaa
Dunia aiishi vituko
Acha watu wapate burudani za real stories sio zenu mnaleta humu na za kutunga zimejaaa.
Siku nikirusha na jinsi nilivyokuwa sijui kutoa. Ntaumbuka. Nielekeze unatoaje. [emoji23][emoji23][emoji23]Mi hapa jf kuna siku nsharusha picha uzuri kuna mtu ananijua akanishtua fastaa..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nkaiondoa@Bony...sisahau that day
leo nimekupendaa atleast umekuwaa real..
Wanakuwa wamelewa hawa wakiingia kwenye account fake zao...ndo maana full kuumbuka!ndo nimejua wale wote hamnazo hoyce akajifanya kahakiwa
Si ndiyo mpaka awe na simu mbili. Ha ha ha.
Siku ya Leo hatoisahau.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app