Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Kwani huko insta umeshindwa kumwambia? Kama huko insta ameshindwa kukuelewa huku ndio atakuelewa? Halafu kwa nini mtuletee utoto Wenu wa insta huku? Mbona mnadiss sana Ishu za fb kuja huku za insta nani kazipa nafasi. All in all nashangaa zaidi wanaume wanaoshadadia huu uzi.. shame on u
 
Je wakati mkipandisha bei za rate ni vigezo gani mlizingatia na mapato ya serikali yamelipiwa kiasi gani?
Hivi mapato ya serikali yanalipwa kabla ya serivice au after service?? Sijaelewa kitu hapa, hivi kutoa misaada ni lazima au ni hiari? Ila hii ishu kwamba wanatakatisha pesa sio ishu ya kitoto, ni tuhuma kubwa sana sana aiseeee. Labda la msingi nililoliona ni hili la mishahara midogo ya wenyeji na hili lipo kia hotel, Wazawa wachache sana wenye mikataba ya maana, nenda hotel zote utakuta wale wanaohudumia wana mikataba ya miezi mitatu maximum, hivyo serikali inakosa mapato na mfanyakazi anakosa haki zake stahili, hili nimeliona kuanzia Ramada, Double Tree, Hyatt, Serena na wengineo. Huku foreihners wakiwa na domnge nono, unyanyasaji uko kwa kiwango cha kutisha, Wakenya na Wahindi ndio Managers. kwa hili liko kote na sio hapo Hyatt peke yake.
 
Hivi humu toka lini tunaomba habari isitoke!?

Hujaona ya kunufaisha wazawa anataka kuyaandika..

Kama ya aibu kwanini ikuume leo na ameshafanya mengi.

Na hiyo kumtisha kwanza umeogopa nini?
 
Ni mpuuzi tu anayeweza kuipinga vita aliyoianzisha yule dada...faida za vita hii ni kubwa kuliko hasara, mi naona bora awalipue tu wasenge sana hawa watu wa mahoteli.
Hakuna kitu kinauma kama unaenda hotelini unaagiza chakula cha laki sba halafu muhudumu anayekuandalia na kukuletea analipwa laki laki mbili na ishirini mwisho wa mwezi, ndo inasababisha wale wadada wanabanduliwa hovyo tu mule ndani na wateja kama makahaba bhana.
 
ni Double Tree peke yake ndio wenye rate nzuri Dar nzima?!
isije kuwa promo hii kwa kuwachafua wengine
 

Embu jionee aibu.. uzi umeufungua na kuusoma hadi ukaandika.. jipige tu vibao vya usoni ulie ya karne hii hayana mipaka mitandaoni. Wewe ni klasi alosto
 
3

Kweli kabisa mmiliki ndiye mwenye Hyatt kwa sasa analinda mali ya mstaafu wetu wa msoga
 
Hivi humu toka lini tunaomba habari isitoke!?

Hujaona ya kunufaisha wazawa anataka kuyaandika..

Kama ya aibu kwanini ikuume leo na ameshafanya mengi.

Na hiyo kumtisha kwanza umeogopa nini?
Ana Dalili za mtu aliyetumwa huyu mleta uzi.
 
Embu jionee aibu.. uzi umeufunguana kuusoma hadi ukaandika.. jipige tu vibao vya usoni ulie ya karne hii hayana mipaka mitandaoni.
Hii ni komenti yangu ya mwisho kwenye huu uzi na aibu nimeona kweli maana nimefatilia Ishu za kipuuzi za kike. Ila msiwadiss wanaoleta story za fb hku
 
Hivi humu toka lini tunaomba habari isitoke!?

Hujaona ya kunufaisha wazawa anataka kuyaandika..

Kama ya aibu kwanini ikuume leo na ameshafanya mengi.

Na hiyo kumtisha kwanza umeogopa nini?
labda hujanielewa point yangu sijakataa kuandika uovu wa haya mahoteli.ila the way anavopresent hizo mada zake ndo shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…