Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
hana ngoma bnaNdiye huyo ila kuusambaza sidhani Mange anasinfo kuwa Hoyce ampatia ARV's za USAID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana ngoma bnaNdiye huyo ila kuusambaza sidhani Mange anasinfo kuwa Hoyce ampatia ARV's za USAID
shangaaa mkuu sijui anawashwa nini? ila mtu nakimuhonga gari ni sawa la m 50 ni sawa .ila hyat kupokea hyo hela ni shidamtyu akiamua kufanya biashara yake hata kwa sh. sifuri yeye huyu mdangaji Rachel Temu inamuhusu nini??
Nitumie namba yako ya whatsapp kuna kitu nataka nikupebweekend hii hoteliniWe na papuchi kama tako na chupi
Hivi mapato ya serikali yanalipwa kabla ya serivice au after service?? Sijaelewa kitu hapa, hivi kutoa misaada ni lazima au ni hiari? Ila hii ishu kwamba wanatakatisha pesa sio ishu ya kitoto, ni tuhuma kubwa sana sana aiseeee. Labda la msingi nililoliona ni hili la mishahara midogo ya wenyeji na hili lipo kia hotel, Wazawa wachache sana wenye mikataba ya maana, nenda hotel zote utakuta wale wanaohudumia wana mikataba ya miezi mitatu maximum, hivyo serikali inakosa mapato na mfanyakazi anakosa haki zake stahili, hili nimeliona kuanzia Ramada, Double Tree, Hyatt, Serena na wengineo. Huku foreihners wakiwa na domnge nono, unyanyasaji uko kwa kiwango cha kutisha, Wakenya na Wahindi ndio Managers. kwa hili liko kote na sio hapo Hyatt peke yake.Je wakati mkipandisha bei za rate ni vigezo gani mlizingatia na mapato ya serikali yamelipiwa kiasi gani?
Kwani huko insta umeshindwa kumwambia? Kama huko insta ameshindwa kukuelewa huku ndio atakuelewa? Halafu kwa nini mtuletee utoto Wenu wa insta huku? Mbona mnadiss sana Ishu za fb kuja huku za insta nani kazipa nafasi. All in all nashangaa zaidi wanaume wanaoshadadia huu uzi.. shame on u
Kwahio umeona ukileta humu ndio atashaurika?watu wanaenda dubai,paris etc si hela zao bna .kwani huko dubai wanatoa misaada humu kisa watu wetu wameenda shoping kwao? rachel kaniboa sana halafu hashauriki
Four seasons hotel Serengeti (Former Bilila Lodge) is the most expensive hotel..hiyo Mil.22 ni kawaida sana!
Pale four seasons presidential villa per night ni $12,000 sawa na Mil.25..
Wine Laki 7..
Soda ya kawaida 80000/=
Nilifika pale nikajikuta rangi nyeusi ni sisi na wahudumu tu ..na wanaenda watu mashuhuri zaidi duniani..
Huyu Rachel no wonder alitimuliwa Grumeti pale! ni mshkaj wangu in person lakini ana psychological problem inaitwa phantom complex!
Kama hana hela atulie...lile danga lake fupi Nene ambaye anamchukia Matukio Chuma yupo?! teh
Ana Dalili za mtu aliyetumwa huyu mleta uzi.Hivi humu toka lini tunaomba habari isitoke!?
Hujaona ya kunufaisha wazawa anataka kuyaandika..
Kama ya aibu kwanini ikuume leo na ameshafanya mengi.
Na hiyo kumtisha kwanza umeogopa nini?
Hii nchi ina mambo ukute na wewe unasema una kichwa !!!Mimi sijaona kosa,,kama vipo hao hyat wampeleke mahakamani
Hii ni komenti yangu ya mwisho kwenye huu uzi na aibu nimeona kweli maana nimefatilia Ishu za kipuuzi za kike. Ila msiwadiss wanaoleta story za fb hkuEmbu jionee aibu.. uzi umeufunguana kuusoma hadi ukaandika.. jipige tu vibao vya usoni ulie ya karne hii hayana mipaka mitandaoni.
ndio yupo humu labda atabadilikaKwahio umeona ukileta humu ndio atashaurika?
Haya ndio mambo...hata 100k haiishi. Huko kwa 22m tunawaachia wenyewe!Wale chama pendwa kuna chimbo letu twendeni huku!..
View attachment 692558
Kwani lazima nione kama weweHii nchi ina mambo ukute na wewe unasema una kichwa !!!
Kweli hujaona kosa hapo ?
labda hujanielewa point yangu sijakataa kuandika uovu wa haya mahoteli.ila the way anavopresent hizo mada zake ndo shidaHivi humu toka lini tunaomba habari isitoke!?
Hujaona ya kunufaisha wazawa anataka kuyaandika..
Kama ya aibu kwanini ikuume leo na ameshafanya mengi.
Na hiyo kumtisha kwanza umeogopa nini?
Umeshindwa kumbadili huko mnakoonana face to face uweze kumbadili huku mnakotumia fake IDs...?ndio yupo humu labda atabadilika