Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Huyo Rachel Hana Akili uitetee Doubletree uipondee Hyatt hivi ni mwananchi yupi WA kawaida anauwezo wa kulala Doubletree tupilia Mbali Hyatt?
Itakua kalipwa. Rachel ana maugomvi sana na sehemu alizofanyaga kazi. Hajawahi kuacha sehemu akaondoka kwa amani.
 
5* Hotels hazina wahasibu,HR,Chefs na watu wa calibre hio? Wapo ila unakuta wamejazwa wahindi,wakenya wabongo wanabaki kwenye uhudumu.
Ukiweka chefs kando, muajiriwa wa hotel Ukiwa muhasibu hutakiwi kubase Kwenye uhasibu tu kuna muda wateja wanachanganya na wao wanasave. Tuongee ukweli Mkuu hii biashara wa bongo hatuiwezi tukaze tupambane iweje mkenya aajiriwe mbongo anaachwa? Wameshaona mapungufu tukaze kama Sekta nyingine tu.
 
Back
Top Bottom