Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Ndio kabisa nasikia hizi hotel wazawa wanalipwa laki na nusu au laki mbili halaf wageni wanalipwa pesa ndefu kweli hapo namuunga mkono

Normally local salaries zinalipwa kulingana na prevailing Market rates. Mfano, UN kigezo kikubwa wanachokitumia kulipa local staff ni best available local markets. kwa vile UN ni shirika la Umoja wa Mataifa (international staff wanalipwa kulingana na mishahara ya nchi mwanachama anayelipa vizuri watumishi wake serikalini). Mpaka leo nchi hiyo ni Marekani! Ndo maana mpaka leo mishahara ya International staff wa UN iko based kwenye salary scale za mishahara ya serikali ya USA (kwa national staff iko based kwa best locally prevailing rates)

Private sector/au makampuni binafsi ya kimataifa...... mara nyingi wanaangalia mishahara ya serikali (it is assumed-wrongly in my view) kwamba mishahara ya serikali ni kipimo kinachoakisi ubora wa maisha ya raia wake. Kwa hiyo akija Hyatt mfano ataangalia competitors wake wanawalipa vipi wafanyakazi wao (maana mishahara ya serikali ni midogo mno kufanya comparison). Sema sasa kwa sababu ya umasikini na availability of cheap labour..wanajua kabisa hata wakishusha..bado watu watafanya hizo kazi. Upande wa serikali ni ngumu kuingilia, maana huwezi uka-demand raia wako walipwe mishahara mikubwa ambayo hata wewe huwezi kuwalipa watumishi wako. At the end of the day ndo maana ni muhimu kufanya negotiation ya maslahi kabla ya kusaini mkataba.
 
I got a German porno movie… which has subtitles, which is great cause otherwise I would have had no idea what was going on.
 

Hoteli ya Hyatt Regency Yatangaza Chumba cha Milioni 22..4 kwa Usiku Mmoja tu wa Valentine, Wabongo Waduwaa

14:26

Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam juzi ilitangaza ofa ya chumba cha Sh22.4 milioni katika Usiku wa Valentine na kusema kuwa Watanzania mbalimbali wamekuwa wakipiga simu kutaka kujua kama ni bei halisi na wengine kuomba punguzo.


Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Denis Glibic alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu chumba hicho na namna watu walivyolipokea tangazo hilo.


Glibic alisema tangu watangaze ofa hiyo ambayo ni kwa ajili ya wapendano katika sikukuu ya Valentine, wamepokea simu nyingi kutoka kwa Watanzania wakitaka kujua kama kweli hilo ni tangazo lao halisi na wengine wakitaka wapate nafasi hiyo kwa punguzo la bei.


Kuhusu chumba hicho ambacho kinatumiwa na marais mbalimbali duniani wanapokuja nchini, meneja mwendeshaji wa hoteli hiyo, Timothy Mlay alisema, kwa kawaida bei yake huwa ni Sh11.4 milioni kwa siku.


Alisema pamoja na kuwapo kwa malalamiko ya maisha magumu, wanaamini watu watapatikana kwani kwao kuanzia Desemba mpaka sasa ni kipindi ambacho hupata wateja wengi.


Alisema huduma zitakazotolewa kwa wateja wa chumba hicho siku hiyo zitakuwa tofauti kwa wateja wengine, kwani mbali ya kwenda kuchukuliwa na gari la kifahari eneo wanaloishi, pia watapatiwa zawadi za mapambo ya mwilini yenye madini ya Tanzanite
 
Alijisemea Prof Ngware wabongo mnataka muajiriwe na muwe na mishahara sawa na wageni kwanye hizo 5* hotels wakati ufanyaji kazi wenu haufiki viwango vya kimataifa....hata mkishaajiriwa haipiti mwezi mshakamatwa mkiiba hoho na carrots na zaga zingine huko store... siku mki-upgrade viwango vyenu vya ubora na soko la ajira hasa kwenye hotels hizo za kitalii na kimataifa zitawa upgrade
 
Back
Top Bottom