Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Ni kweli je turudi Kwenye elimu Asilimia kubwa ya watanzania Kwenye 5 stars hotel wengi wao ni Wafanyakazi wa nafasi za kawaida. Serikali YETU yenyewe inadharau hii Sekta ukiachana na National college of tourism ambayo inatoa Mwisho diploma nitajie chuo kinachotoa degree ya hospitaly hapa Tanzania vitano tu?

Pili hii Kada inachukuliwa the last option kwa watanzania mtu akifeli anatupwa miezi 6 hotel management alafu unataka akachuane na wazungu mshahara be serious
Watu wenye degree kwenye hii sekta wapo wengi sana.
Suala la qualified personell liweke pembeni. Watu wengi saba wana qualifications zao tena nzuri.

Hapa matatizo yaanzia kwenye sera za Tanzania kwenye kumlinda mwananchi wake na hizi ajira.
Kuna waziri yeye ali conclude kuwa watanzania hawaajiriwi kwa sababu ni wezi.

Prof maghembe(huyu kwanza nampa tusi moja la da mange mpare mwenzie)

Huyu profesa sidhani kama anajua kuwa watu wanaoongoza kwa wizi ni wakenya na wahindi.

Sitaki kuchambua sana kwa sababu sipo kwenye hio sekta ila kuna mengi sana ya kubadilisha huko.
Kwa sababu wanaosimamia sera huko ni watu waliosomea udaktari wa binadamu. Sasa unategemea kupata matokeo gani zaidi ya kiki tu?
 
Good morning
 
Back
Top Bottom