macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Uko sahihi. Njia nzuri ni kutumia mafundi wenye ujuzi na wanaoaminika. Tatizo la Bongo ni kumjua fundi wa aina hii.Mkuu ata kama ameweka Earth rod ya 200k lakini haijafika kwenye switch socket na metal boxes zote ndani ya nyumba haitakuwa na msaada wowote.
Pia kuna wale mafundi wakati wa maintenance huwa wanazikata Earth wires ili kuzia Earth leakage inayosababisha RCB Kutrip so wanakupa Panadol na sio dawa yakumaliza tatizo