Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

Ujazuiwa kupata habari mbona kanuni zipo ni self explanatory kipi kinaweza kuwaletea utata. Misrepresentation ni sababu moja wapo.
Upataji Habari utakua biased kama government itaamua ni Habari gani itangazwe na ipi isitangazwe! Nakuelewa kwamba unatetea adhabu zilozotelewa Kwa sababu ya kuvunja kanuni, Lakini mimi ninachosema, kanuni zetu ni halali?!
 
Kama wamevunja sheria acha waadhiniwe kama wahusika hawajaridhika mahakama zipo wazitumie
 
Ndigai alihojiwa tbc alimnanga mh, mbowe kuwa alilewa wakati mbowe Yuko hospitalized, mbona hakukuwa na balanced story
 
Daah! kwa aina hii ya watu Ccm itatawala miaka mingi! Mamvi alisema vipaumbele ni elimu, elimu, elimu! Kweli hakukosea
 
Ujinga tu! Nchi gani ambayo haina mizania ya utoaji habari? Tatizo ni watu kama wewe na wenye waandishi Kanjanja. Vijana wa BBC nao hoi kuna wakati wanakuwa mashabiki wa habari za nyumbani bila kuheshimu sheria.
Magufuli anavyoropoka ropoka huko huwa analetewa mizania ya habari?
 
"Akiri" ndo nini??? Dogo kajifunze kuandika kwanza ndo urudi hapa..haya nenda.
 
Watu wanavyotekwa, kuuliwa na kuokotwa kwenye viroba unaona sawa kabisa. Hayo machafuko yatoke wapi si mnakubalika sana kwa kufanya vizuri. Na haya mambo huwa yana mwisho wake
 
Upataji Habari utakua biased kama government itaamua ni Habari gani itangazwe na ipi isitangazwe! Nakuelewa kwamba unatetea adhabu zilozotelewa Kwa sababu ya kuvunja kanuni, Lakini mimi ninachosema, kanuni zetu ni halali?!
Kila mtu atimize wajibu wake kutokana na matakwa ya sheria TCRA aendelee kudhibiti na vyombo vya habari vitajifunza kuwakumbusha wengine wanaowapa contents kuhakikisha uwasilishaji unazingatia sheria za Tanzania wakifanya ivyo hakuna atakaesumbuliwa.

Unajua tatizo ni wana siasa ndio wanaoenda kupotosha malengo halisi nyuma hizi sheria interest zao zinapoguswa.

Mimi nakumbuka enzi za JK unakuta gazeti lina kichwa cha habari ukurasa wa mbele ‘Mama ajifungua chatu’ na picha ya mwanamke inawekewa na story inaweza trend kwenye social media. Yaani kulikuwa na kila aina ya nonsense kwenye media.



Ziko wapi nakala kama hizo leo ni kupitia usimamizi wa sheria na kulazimisha ethics ndio watu watabadilika vyombo vya habari aviwezi kujirushia habari kwa utashi lazima kuwe na regulations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…