Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Bado kuna wajinga wataendelea tu kusifu na kutukuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upataji Habari utakua biased kama government itaamua ni Habari gani itangazwe na ipi isitangazwe! Nakuelewa kwamba unatetea adhabu zilozotelewa Kwa sababu ya kuvunja kanuni, Lakini mimi ninachosema, kanuni zetu ni halali?!Ujazuiwa kupata habari mbona kanuni zipo ni self explanatory kipi kinaweza kuwaletea utata. Misrepresentation ni sababu moja wapo.
Ndigai alihojiwa tbc alimnanga mh, mbowe kuwa alilewa wakati mbowe Yuko hospitalized, mbona hakukuwa na balanced storyWewe ndio wakijiuliza hilo swali unaamini TCRA wamekosea kweli au unapenda kupinga tu.
Tatizo liko wapi vyombo vya habari kuitwa kutolea ufafanuzi maudhui ambayo TCRA yanaona sio balanced sheria iliyovunjwa wamekuwekea hapo kukwepa ‘misrepresentation’ lazima walau kuwe na jitihada za kupata upande wa pili.
Ndio maana saa zingine unasikia vyombo vya habari baada ya kuripoti malalamiko ya upande mmoja vinakueleza harakati za kupata upande wa pili azikufua dafu ukipiga simu mtu anaetakiwa kutolea ufafanuzi jambo analoshutumiwa apokei/apatikani au chochote kuonyesha ulijaribu you are off the hook.
Media za vijana wadogo tu wanajua hilo iweje taasisi kubwa ishindwe kuelewa.
Na wewe mbona unawasemea?,acha kutusemea watanzania,labda wewe nani familia yakoLabda wewe na familia yako, acha kutusemea Watanzania
Daah! kwa aina hii ya watu Ccm itatawala miaka mingi! Mamvi alisema vipaumbele ni elimu, elimu, elimu! Kweli hakukoseaMkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Asante kwa ufafanuzi ndgAlitoa Zitto , February Marope alisema kwa lugha ya picha.
Magufuli anavyoropoka ropoka huko huwa analetewa mizania ya habari?Ujinga tu! Nchi gani ambayo haina mizania ya utoaji habari? Tatizo ni watu kama wewe na wenye waandishi Kanjanja. Vijana wa BBC nao hoi kuna wakati wanakuwa mashabiki wa habari za nyumbani bila kuheshimu sheria.
Serikali hii tuungane kuiweka pembeni mwaka huu!
La sivyo miaka mitano ijayo itakuwa ya hovyo Sana!
Lini ulikuwa na kikao na hao wananchi wakakwambia hivyo mkuuReplica,
Huu ni ushamba ulioje ndiyo maana wananchi wanataka utawala huu wa Udikteta uondoke uje utawala wa kidemokrasia.
...Awamu hii kiboko.Wanapigwa pini.
VoA
BBC Swahili
Citizen
DW
CNN
Aljazeera
BBC
Sky news
Wote hawa watatakiwa waombe kibali ambacho watanyimwa
"Akiri" ndo nini??? Dogo kajifunze kuandika kwanza ndo urudi hapa..haya nenda.Ukiwa naa akiri timamu jiulize toka 2015 pesa zote za ruzuku na zile mnazokata wabunge mmefanyia nini?
Je kuna kibanda mmejenga?
Kipi kipya kimeongezeka kutokana na hiyo ruzuku?
Je hiyo pesa ni ndogo sana kwenye hicho chama?
Je pesa za wabunge kwa ajili ya kampeni zipo?
Ukipata majibu hayo njoo tuzungumze.
Watu wanavyotekwa, kuuliwa na kuokotwa kwenye viroba unaona sawa kabisa. Hayo machafuko yatoke wapi si mnakubalika sana kwa kufanya vizuri. Na haya mambo huwa yana mwisho wakeMkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Mambo mengine ni ujinga mtupuWanapigwa pini.
VoA
BBC Swahili
Citizen
DW
CNN
Aljazeera
BBC
Sky news
Wote hawa watatakiwa waombe kibali ambacho watanyimwa
Akiwa bwege nawe unaona ufahari kuiga?Magufuli anavyoropoka ropoka huko huwa analetewa mizania ya habari?
Kila mtu atimize wajibu wake kutokana na matakwa ya sheria TCRA aendelee kudhibiti na vyombo vya habari vitajifunza kuwakumbusha wengine wanaowapa contents kuhakikisha uwasilishaji unazingatia sheria za Tanzania wakifanya ivyo hakuna atakaesumbuliwa.Upataji Habari utakua biased kama government itaamua ni Habari gani itangazwe na ipi isitangazwe! Nakuelewa kwamba unatetea adhabu zilozotelewa Kwa sababu ya kuvunja kanuni, Lakini mimi ninachosema, kanuni zetu ni halali?!