Radio One hizi playlist zenu za usiku kwanini zinajirudia rudia sana

Radio One hizi playlist zenu za usiku kwanini zinajirudia rudia sana

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Radio one mna shida gan playlist yenu ya usiku ipo vile vile mwaka wa 10 sasa, ata kama ni Auto DJ mnashindwa kuchagua nyimbo mchana?


1759792376545.png
 
Hili ni tatizo la kutopenda mambo mapya, huenda DJ ni yuleyule wa kitambo, hivyo anaweka ngoma hizohizo za kitambo, za sasa anaona hazifai kabisa kusikilizwa.
 
Ni kama TBC nyimbo yupo mwana mama yani huu mwaka sijui WA ngapi?😁
 
Back
Top Bottom