stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Oct 7, 2025 #1 Radio one mna shida gan playlist yenu ya usiku ipo vile vile mwaka wa 10 sasa, ata kama ni Auto DJ mnashindwa kuchagua nyimbo mchana?
Radio one mna shida gan playlist yenu ya usiku ipo vile vile mwaka wa 10 sasa, ata kama ni Auto DJ mnashindwa kuchagua nyimbo mchana?
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Oct 7, 2025 #2 Chai
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 7, 2025 #3 Hili ni tatizo la kutopenda mambo mapya, huenda DJ ni yuleyule wa kitambo, hivyo anaweka ngoma hizohizo za kitambo, za sasa anaona hazifai kabisa kusikilizwa.
Hili ni tatizo la kutopenda mambo mapya, huenda DJ ni yuleyule wa kitambo, hivyo anaweka ngoma hizohizo za kitambo, za sasa anaona hazifai kabisa kusikilizwa.
S Swensa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,880 Reaction score 4,295 Oct 7, 2025 #4 Ni kama TBC nyimbo yupo mwana mama yani huu mwaka sijui WA ngapi?😁