Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Unajua maana kaa? Ilitokea wakati walipo omba kibali cha kufanya onyesho la fiesta wakaambiwa liishe saa sita usiku. Ndipo wakamwita RC MAKONDA KAA. Wakidhani watadhofisha
 
Clouds iachane tu aisee.. kuivunja sio leo wala kesho
ivo ee

itajivunja yenyewe hamna wa kuivunja!

Binafsi siyo mshabiki wa muziki, lakini clouds kwangu mimi ni zaidi ya radio, sasa hebu niambieni mtu kama mimi nisiyependa miziki mkaleta redio kwa ajili ya wanamuziki mnawezaje kunipata? Au hiyo wasafi radio inakuja na lipi jipya ambalo halipo clouds?

Suala la wao clouds kunyanyasa wasanii wala halina uhusiano na mimi kusikiliza sports xtra au jahazi au power breakfast, hao wasanii kama wananyanyaswa ni lini watafika mahakamani kwenda kudai kukiukwa kwa MKATABA kati yao na clouds? Ni lini wasanii wamekubaliana na clouds kwamba katika fiesta arusha tutakulipa kadhaa halafu hajalipwa?

Wananyanyaswa au wanakubaliana? Isijekuwa wanakubaliana halafu wakitoka wakakutana na fulani anamuambia umelipwa kidogo sana halafu anakasirika anasahau walikubaliana.....

Radio ya kuifunika clouds haitozaliwa na watajwa.
sauwa!

Unajua maana kaa? Ilitokea wakati walipo omba kibali cha kufanya onyesho la fiesta wakaambiwa liishe saa sita usiku. Ndipo wakamwita RC MAKONDA KAA. Wakidhani watadhofisha
40 yao ipo mbele... me fiesta siendagi kabisa bora niende nyamachoma festival tu!
 
Mimi Clouds nawapenda kuliko redio yoyote. So umewachoka mwenyewe. Kusema wananyanyasa wasanii bila ushahidi ni sawa na kuonyesha una matatizo yako binafsi na wahusika, kwa ufupi wivu unakusumbua.
sina shida na clouds hawajanifanya kitu chochote ila wamewanyanyasa wanamziki watz wengi tu!

kama umetoka bush leo waulize wazawa wa dar watakuambia
 
Huyu dada atakuwa aliliwa papa na Joe afu akatemwa.. ukimfuatilia huyu dada ana maisha flani ya akina Tunda
ni vile haunifahamu!
huyo ruge kila siku anamsujudu mume wangu ... Ruge saizi za Mheshimiwa yulee sio mume wangu

mtu mdogo kama Ruge hawezi hata nishika mkono huku nchini.,.. akawaonee hao hao akina Ruby na yule wa alaza roho sijui nani yule demu white!
 
Wivu wa kike unakusumbua!
ukweli unakuuma... hao sio watu acheni watumbuliwe tu na bado!

Eti redio inayonyanyasa watu na wasanii ndo inazidi kuwa juu... kuna watu hata hawafikirii mbali
me nadhani we wa bush party watafute wazawa wa DAR wakupe habari ya clouds

huko bush ndio mnapapatikia clouds sijui nini! huku mjini hatuna hata muda, ndio kwanza watz wapo na AZAM TV na DSTV!
 
Redio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10
Miaka sio tatizo hata Mr Blue mkongwe kwenye game ila hajulikana huko Nigeria kuliko Harmonize au Rayvany au Simba na yanga ni Wakongwe ila hata kiwanja hawana kitu muhimu mipango na malengo.
 
Ungejua kuwa vitu vingi anavyo miliki diamond ni vya clouds usingesema
Joseph kusaga
Anamiliki diamond karanga pamoja na jamaa mwingine platinum ni wakala tuu
Chibu perfume ya kusaga platinum ni wakala tuu .
Mange huko Insta katupia reference
 
Back
Top Bottom