GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
We jamaa huwa una akili sana!
Akhsante, Shukran na ubarikiwe sana na mno Mkuu kwa ' Sifa ' zako ' tukufu ' kabisa ulizonitunuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa huwa una akili sana!
dohWasanii ni bangi
ivo eeClouds iachane tu aisee.. kuivunja sio leo wala kesho
sauwa!Binafsi siyo mshabiki wa muziki, lakini clouds kwangu mimi ni zaidi ya radio, sasa hebu niambieni mtu kama mimi nisiyependa miziki mkaleta redio kwa ajili ya wanamuziki mnawezaje kunipata? Au hiyo wasafi radio inakuja na lipi jipya ambalo halipo clouds?
Suala la wao clouds kunyanyasa wasanii wala halina uhusiano na mimi kusikiliza sports xtra au jahazi au power breakfast, hao wasanii kama wananyanyaswa ni lini watafika mahakamani kwenda kudai kukiukwa kwa MKATABA kati yao na clouds? Ni lini wasanii wamekubaliana na clouds kwamba katika fiesta arusha tutakulipa kadhaa halafu hajalipwa?
Wananyanyaswa au wanakubaliana? Isijekuwa wanakubaliana halafu wakitoka wakakutana na fulani anamuambia umelipwa kidogo sana halafu anakasirika anasahau walikubaliana.....
Radio ya kuifunika clouds haitozaliwa na watajwa.
40 yao ipo mbele... me fiesta siendagi kabisa bora niende nyamachoma festival tu!Unajua maana kaa? Ilitokea wakati walipo omba kibali cha kufanya onyesho la fiesta wakaambiwa liishe saa sita usiku. Ndipo wakamwita RC MAKONDA KAA. Wakidhani watadhofisha
sina shida na clouds hawajanifanya kitu chochote ila wamewanyanyasa wanamziki watz wengi tu!Mimi Clouds nawapenda kuliko redio yoyote. So umewachoka mwenyewe. Kusema wananyanyasa wasanii bila ushahidi ni sawa na kuonyesha una matatizo yako binafsi na wahusika, kwa ufupi wivu unakusumbua.
ni vile haunifahamu!Huyu dada atakuwa aliliwa papa na Joe afu akatemwa.. ukimfuatilia huyu dada ana maisha flani ya akina Tunda
ukweli unakuuma... hao sio watu acheni watumbuliwe tu na bado!Wivu wa kike unakusumbua!
me nadhani we wa bush party watafute wazawa wa DAR wakupe habari ya cloudsEti redio inayonyanyasa watu na wasanii ndo inazidi kuwa juu... kuna watu hata hawafikirii mbali
KWANI Ruge ananilisha mpaka iniume?!Lazima ukweli ukuume..
tunamsubiria MONDI buana... kama hakutuangusha kwenye mziki hata kwenye REDIO na TV hatotuangusha!Ili upate nini? Kuwa mchawi kuko hivi
hamna kitu... tusubiri 2020 kama clouds itakuwa clouds tena!Don't underrate the power of cloud
Miaka sio tatizo hata Mr Blue mkongwe kwenye game ila hajulikana huko Nigeria kuliko Harmonize au Rayvany au Simba na yanga ni Wakongwe ila hata kiwanja hawana kitu muhimu mipango na malengo.Redio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10
ahahahahaMiaka sio tatizo hata Mr Blue mkongwe kwenye game ila hajulikana huko Nigeria kuliko Harmonize au Rayvany au Simba na yanga ni Wakongwe ila hata kiwanja hawana kitu muhimu mipango na malengo.
Nimempa na facts babie.ahahahaha
asante maana mbishi sana!Nimempa na facts babie.
kila kitu ambacho haujakijua!Hadithi yako inatufundisha nn
nenda instagram ya mondi utaona!Hiyo wasafi tv inapatikana kwenye king'amuzi gani?