Radio za Kikristo mnakera sana kwakweli

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nimepanda gari la jamaa yangu ameweka Radio zao hizi. Hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.

Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine.

Inachosha asilimia 80 ya matangazo ni Mambo ya Elimu. Kuna Maisha mengine ndugu zanguni badilikeni.
 
Hio ndo njia ya kuwaingizia pesa mkuu unataka wakale wapi?
 
Pole! Umekurupuka tu lkn,wabadilike wawe muslim au?
 
Hakika chuki inakufanya ushindwe kufikiri vema, uhusiano wa mada na comment yako ni upi
 
Chukua earphones weka kwenye simu yako, fungulia radio yenu ile ambayo hata lugha haieleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…