chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Nimepanda gari la jamaa yangu aweka Radio zao hizi. hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine. Inachosha asilimia 80 ya matangazo ni Mambo ya Elimu. Kuna Maisha mengine ndugu zanguni badilikeni.
kuna siku moja nasikiliza redio zenu za kiislamu mnatangaza waganga wa majini ili nikera sana japo nilipata mganga wa kumroga jirani alikuwa anapenda ccm